Dkt. Bashiru: Baada ya mzee Kikwete kuingia kura zetu (CCM) zilianza kuporomoka

Dkt. Bashiru: Baada ya mzee Kikwete kuingia kura zetu (CCM) zilianza kuporomoka

Japo ni msemo unaouma ila sometimes Trump alikua sahihi...
SH.
Screenshot_2020-01-12-17-37-43-1.jpeg


dodge
 
CCM chama cha wanyonge, nawaona CCM wenzangu hapo aka wanyonge wenzangu.

Enzi za Mzee Kikwete chama kiliporwa kwa wanyonge wakakichukua mafisadi CDM, sasa chama kimerudi tena kwa wanyonge na maendeleo yanakuja kwa kasi balaa, Unyonge ni sifa nzuri sana jamani na ni raha sana kuwa mnyonge na ukachagua chama cha wanyonge CCM.. Tumeamua kuwa wanyonge.
CCM bana.
tapatalk_1577999380187.jpeg


dodge
 
Ukweli mchungu sana huu, Dr. Bashiru anasema kweli
 
Mwambienei ajaribu kuruhusu uchaguzi uwe huru bila polisi na tume kuingilia; halafu aje atueleze hayo anayoyasema leo.

Mwelekeo wetu unazidi kuwa mzuri, kwa sababu sasa mapambano yanahamia ndani ya CCM. Hili ni jambo zuri sana.

Lakini kwa kuwa bayana kiasi hiki, inaonekana hawa hawategemei tena kura za wananchi kuendelea kuwa madarakani. Hii ndio bahati yetu mbaya.
 
Kumbe alikuwa ni katibu mkuu wa hicho chama UDSM. Bila shaka atakuwa anauzoefu sana wakuwa Katibu mkuu kabla ya kupewa hii kazi, Nafikiri hata Polepole naye anauzoefu sana wa kuwa katibu mwenezi huko nyuma sijui naye alikuwa katibu mwenezi wa chama gani.?
Tume ya Warioba!
 
Tufanye hesabu kidogo..

Kuanzi form 1 yako

mpaka olevo = 4 Years

Mpaka Alevo = 2Years

Mapaka chuo = 3 Years (Kama wewe ni ngwini, kama utasome MD au engineering tenga miaka 4 au 5)

Mpaka masters = 2 Years.

Mpaka PhD = 3 to 4 Years

Jumla => 4 + 2 + 3 + 2 + 4 = 15 Years!


Dah hapo nikiongeza kidogo nakuwa kama PROP LIPUMBA, dah ngoja nikomae hiyo 15 kwanza.
 
JPM alipata 58% kwa sababu hakuwa tarajio la wananchi. Watu walikuwa na tarajio lengine. (Lowasa)

JK alijaribu 'kunusuru nchi toka mikononi mwa (Mafisadi?)' Yeye Bashiru haoni kuwa naye ni zao la (bahati mbaya) la juhudi hizo.

Angekuwa Mwenyekiti si JPM bila shaka hata yeye Bashiru asingepata nafasi ya kuongea hayo.
 
Back
Top Bottom