mimiks
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 1,416
- 2,794
Kikwete akiamka huko na vijembe vya kikwere mnaanza kutafutana kumbe mnatafuta wenyewe mstaafu wa watu.
Kwa mwaka huu mfano tunao kwenye serikali za mitaa CCM ilipita bila kupingwa.
Awamu iliyopita walikua wanang'ata na kupuliza ila sasa hivi mnang'ata tu mpaka wananchi wanaona kinachoendelea bila kificho.
Sent using Jamii Forums mobile app