Security Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 299
- 388
Ktk medani za kisiasa Bashiru kwa Kikwete ni sawa na kulinganisha Daktari bingwa wa moyo na mganga wa tiba za asili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maana hiyo Dr. Bashiru ni daktari bingwa wa moyo na Prof.Kikwete ni mhanga wa tiba za asiliKtk medani za kisiasa Bashiru kwa Kikwete ni sawa na kulinganisha Daktari bingwa wa moyo na mganga wa tiba za asili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule lwaitama anayegombana na air hosters?Wote hawa ndio sampuli ya jalalani binafsi katika Phd niliowahi kuwasikia wanaongelea siasa ninaye mkubali ni Lwaitama pekee.
Ukitaka kujua huyu Bashiru ni bogus kesho anaweza kweli mpigia simu JK na kumwambia tunaomba ushiriki kwenye campaign za uchaguzi au watu wanaowatukana.
Au kwenye kichwa chake yeye, polepole, Jerry Murro, Happi na Makonda wanaushawishi mkubwa sana peke yao.
Huna uwezo wa kuchambua mantiki ya hoja zake stick to being a vuvuzela.
Utasubiri sana!Mwambienei ajaribu kuruhusu uchaguzi uwe huru bila polisi na tume kuingilia; halafu aje atueleze hayo anayoyasema leo.
Mwelekeo wetu unazidi kuwa mzuri, kwa sababu sasa mapambano yanahamia ndani ya CCM. Hili ni jambo zuri sana.
Lakini kwa kuwa bayana kiasi hiki, inaonekana hawa hawategemei tena kura za wananchi kuendelea kuwa madarakani. Hii ndio bahati yetu mbaya.
Mbona tayari kila mwana Jamhuri hii ya Tanzania tayari anali'PhD lake mkuu.....baba'la baba alichukua kwa niaba,usisahau!!!!Hatuna muda wa kupoteza.Hivi nikianza form one mwakani inaweza kunichukua miaka mingapi ili niwe na PHD, Msaada tafadhali.
Nakumbuka ile hadith ya sungura darasa la nne enzi zile " sizitaki mbichi hizi" du ! Kumbe ina maana mpaka leo!..nani anatamani kwenda Ikulu?
..Ikulu imepoteza heshima yake baada ya Babu Seya na Papii kupokelewa kwa zulia jekundu.
Na huo ukweli wenyewe useme kwanza mbele ya "wenye chama" ili wa edit...ole wako uinuke tu na kuongea hadharani.CCM safi sana, NITASEMA KWELI DAIMA NA UONGO KWANGU MWIKO.
Ukitoka kuzimia utakutana na hii..."wapiga kura wameongezeka mara dufu toka awamu ya tano iingie madarakani"....as if kuna uchaguzi wowote lifanyika nchi nzima kupima udufu huo. Hapo ndio utazimia moja kwa moja!Hapo kwenye wasema kweli wakawa maadui wa Chama nimecheka hadi nimezimia..
Ndio wananipepea hapa...
Lazima itakuwa rahisi sana, imagine kesho keshokutwa huyo mtu anaekejeli watu atakuwa amekaa meza kuu na maraisi sijui atakuwa anaongea nao nini au anaangalia wapi.Mwakani najiunga PhD, niliwahi kusita kwa kudhani itanimalizia muda wangu lakini kumbe ni rahisi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nikianza form one mwakani inaweza kunichukua miaka mingapi ili niwe na PHD, Msaada tafadhali.
Wewe hutaki uchaguzi uwe huru ili mkichaguliwa na wananchi tuwapongeze kwa kuaminiwa na wananchi?Utasubiri sana!
Siku nilipoona Mbowe kashinda kwa 93.5% dhidi ya mpinzani wake Cecil ndio nilijua maana halisi ya kucheza na sanduku la kura ambayo sikupata kuijua kablaHapo Bashiru aliposema ccm sasa hivi ilishinda kwa 98%, ndio nimejua kuwa na elimu Tanzania ni ujinga kuliko ujinga wenyewe. Kweli mpe mtu hela au cheo ujue tabia yake.
Aisee nimekuelewa Mkuu....!!..miaka ya zamani wapiga kura wengi walikuwa wamezaliwa au kukua wakati wa sera ya chama[ ccm ] kushika hatamu.
..kipindi cha Mwinyi na Mkapa ilikuwa ni vigumu kwa vijana na watu wazima kuvipokea vyama vya upinzani kwasababu ya malezi waliyopitia wakati wa mfumo wa chama kimoja.
..miaka ya karibuni wapiga kura wengi wamezaliwa na kukua wakati wa mfumo wa vyama vingi. Mfumo wa vyama vingi umeanza kuzoeleka na kukubaliwa na wananchi wengi zaidi.