TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Wakishindwa hoja wanaamia kwenye udini na ukabila....Huna tofauti nao.Bashiru kaonyesha tabia za kihaya 100%.jk Na membe wakijibu utasikia wanaanza kuwaandama...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakishindwa hoja wanaamia kwenye udini na ukabila....Huna tofauti nao.Bashiru kaonyesha tabia za kihaya 100%.jk Na membe wakijibu utasikia wanaanza kuwaandama...
Hiyo msg imetoka kuzimu?Watu mna maneno nimecheka hadi kufa
Hapo kwenye wasema kweli wakawa maadui wa Chama nimecheka hadi nimezimia..
Ndio wananipepea hapa...
UDSM BORA.MKADANGE WANAFUNZI KAMA.SIO.MIMBA.AMKOSI.MABWANA WAZURI WAKUWATUNZA MAISHANISometimes...kwa huu upupu wanaoongea wanafiki hawa....unaweza amini kuwa pale mlimani siyo tu jalalani bali ni dampo kabisaa...😏
Everyday is Saturday........😎
Hivi nikianza form one mwakani inaweza kunichukua miaka mingapi ili niwe na PHD, Msaada tafadhali.
Haiondoi ukweli kwamba bashiru Ni mhayaWakishindwa hoja wanaamia kwenye udini na ukabila....Huna tofauti nao.
Hapo kwenye wasema kweli wakawa maadui wa Chama nimecheka hadi nimezimia..
Ndio wananipepea hapa...
Kwani Uongo? Ufisadi mihadarati vyeti feki n.k na uozo wote ulifanyika awamu yake, mmebanwa awamu hii, so lazima mumtetee tu lkn ukweli upo wazi siku zote.Wametumwa kumtukana Kikwete wakidhani kwa kufanya wanamjenga mtu wao aliyekosa maarifa ya kuongoza nchi.
samurai anamaanisha kama PhD ni kitu cha hovyo hivi katika nchi za kiafrika kwanini huchukua mda mrefu hivi kuipata? Haoni tofauti ya kiongozi mwenye PhD na yule aliyeishia kidato cha nne au hata wale wa darasa la saba kama akina Joseohu Musukuma.Tufanye hesabu kidogo..
Kuanzi form 1 yako
mpaka olevo = 4 Years
Mpaka Alevo = 2Years
Mapaka chuo = 3 Years (Kama wewe ni ngwini, kama utasome MD au engineering tenga miaka 4 au 5)
Mpaka masters = 2 Years.
Mpaka PhD = 3 to 4 Years
Jumla => 4 + 2 + 3 + 2 + 4 = 15 Years!
Still bado ni Moja wa maraisi wastaafu wenye wafuasi wengi ndani ya chama pamoja na madhaifu uliyoyataja. Akitoka hadharani kupigana ndo utaelewa. Sema kapumzika na Hata chuma kilicholetwa na yeye kilishatoa warning kuwa waacheni wastaafu wapumzike.Kwani Uongo? Ufisadi mihadarati vyeti feki n.k na uozo wote ulifanyika awamu yake, mmebanwa awamu hii, so lazima mumtetee tu lkn ukweli upo wazi siku zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumkamata JK? Thubutu! Hata shetani anajua kuna sehemu kwenye anga hatakiwi kukanyaga.Shetani hana rafiki , Kikwete alionywa akapuuza , sasa atulie maana mipango ya " kumkamata " imeiva .