Dkt. Bashiru: Baada ya mzee Kikwete kuingia kura zetu (CCM) zilianza kuporomoka

Dkt. Bashiru: Baada ya mzee Kikwete kuingia kura zetu (CCM) zilianza kuporomoka

Jamani CCM kuyumba wakati wa Kikwete ni kwasababu demokrasia iliruhusiwa bila vikwazo vingi. Wakati KM analalamika kudhoofika kwa CCM anashau kuwa opposition ilikuwa inastawi
Ni kweli, ila tukumbuke kwamba ni huyu huyu Kikwete aliewezesha kuchaguliwa kwa huyu aliepo. Pia ni huyu huyu Kikwete alivuruga mchakato wa katiba. Bila kusahau kwamba ni huyuy huyu Kikwete aliebariki kuvurugwa kwa uchaguzi Zanzibar, si sote tunakumbuka walivomtumia Jecha kufuta uchaguzi?
 
bagamoyo,
Akitaka kujua Kikwete alikuwa na nguvu waruhusu uchaguzi uru waone kipondo watakachopata ndio watajua kura zilipungua kipindi gani
 
bagamoyo,
Ana uhakika na anayoyasema ? Aruhusu tume huru ya uchaguzi aone atakavyoaibika. Ukiona wananchi wamekaa kimya usifikiri wamekukubali !!!!! Ni kwa sababu ya matumizi ya nguvu kupita kiasi na wasiojulikana ndo maana wananchi wako kimya kuhofia maisha yao, lakini kiuhalisia kukubalika kunaporomoka. Mjitathimini kwa umakini
 
Madaraka ya kulevya huyu msomi anafanya mambo ya ajabu, hizi kauli za hovyo ilipaswa atamke mtu kama Livingstone Lusinde a.k.a Kibajaji
 
Kweli shukrani ya punda ni mateke. Bila kikwete huyu Jiwe angekuwa Rais? Wasingeyumbisha Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kutoka kusimamia zoezi la upigwaji kura na usimamizi nakuwa msoma matokeo leo mngekuwa wapi?
 
Katibu mkuu wa chama cha CCM amtupia maneno makali alikuwa raisi wa awamu ya nne Dr Kikwete kwa kusema yeye ndie aliyekuwa chanzo kwa chama hicho kupolomoka


. Dr Bashiri amkashifu kikwete kwa ...eua chama chetu https://youtu.be/lXdjcImhol0


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE="PavelJr,
Anajua kama ikitokea wanajeshi wetu akili zikawarudi hata kwa bahati mbaya wakajua tofauti ya ccm na Tanzania na hivyo kusimama upande wa nchi badala ya upande wa CCM, CCM hii anayoiongoza haina uwezo wa kupata hata 20 % ya kura,asingetapika hivyo
 
Back
Top Bottom