Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, ila tukumbuke kwamba ni huyu huyu Kikwete aliewezesha kuchaguliwa kwa huyu aliepo. Pia ni huyu huyu Kikwete alivuruga mchakato wa katiba. Bila kusahau kwamba ni huyuy huyu Kikwete aliebariki kuvurugwa kwa uchaguzi Zanzibar, si sote tunakumbuka walivomtumia Jecha kufuta uchaguzi?Jamani CCM kuyumba wakati wa Kikwete ni kwasababu demokrasia iliruhusiwa bila vikwazo vingi. Wakati KM analalamika kudhoofika kwa CCM anashau kuwa opposition ilikuwa inastawi
Kweli kabisa! Siku zote anayekutukana hakuchagulii tusi 😂😂😂😂‘...Bunge limekuwa na Demokrasia zaid kipindi hiki kuliko kipindi cha Kikwete...’-Dr Bashiru
Hapa Bashiru alikuwa anawatukana wanaomsikiliza sio Kikwete.
Dr Bashiru ni mtu hatari mwenye ndimi mbili na mapembe. Weka mbali na wananchi.
Hivi katibu mkuu wa ccm analipwa bei gani kwa mwezi labda mjadala uanzie hapo
Mbona mpaka leo kuna taarifa kuwa kuna watu wanauzwa na kununuliwa
Umedhamiria kuwa chizi kwa gharama zako?Hivi nikianza form one mwakani inaweza kunichukua miaka mingapi ili niwe na PHD, Msaada tafadhali.
mnatakiwa wanaCCM muandamane kuelekea Msoga.Kwa hiyo unataka tufanyaje?[emoji16]