Dkt. Bashiru: Baada ya mzee Kikwete kuingia kura zetu (CCM) zilianza kuporomoka

CCM bana.

dodge
 
Ukweli mchungu sana huu, Dr. Bashiru anasema kweli
 
Mwambienei ajaribu kuruhusu uchaguzi uwe huru bila polisi na tume kuingilia; halafu aje atueleze hayo anayoyasema leo.

Mwelekeo wetu unazidi kuwa mzuri, kwa sababu sasa mapambano yanahamia ndani ya CCM. Hili ni jambo zuri sana.

Lakini kwa kuwa bayana kiasi hiki, inaonekana hawa hawategemei tena kura za wananchi kuendelea kuwa madarakani. Hii ndio bahati yetu mbaya.
 
Tume ya Warioba!
 


Dah hapo nikiongeza kidogo nakuwa kama PROP LIPUMBA, dah ngoja nikomae hiyo 15 kwanza.
 
JPM alipata 58% kwa sababu hakuwa tarajio la wananchi. Watu walikuwa na tarajio lengine. (Lowasa)

JK alijaribu 'kunusuru nchi toka mikononi mwa (Mafisadi?)' Yeye Bashiru haoni kuwa naye ni zao la (bahati mbaya) la juhudi hizo.

Angekuwa Mwenyekiti si JPM bila shaka hata yeye Bashiru asingepata nafasi ya kuongea hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…