johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hiv hao wote si waliingizwa ccm kwa vipande 30 toka kwa hoa hao wa Akina bashiru na polepole.sasa wataenda kuwalilia shida kibungeWakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako.
Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni?
Kwamba, David Silinde ana mfuko wa Jimbo lakini Bashiru na Polepole hawana?!!!
Jamani mwacheni Mungu na aitwe Mungu.
Kazi Iendelee!
Watanzania bwana??? Yaani muda wote ni kufikiria huyu atafahidika nini, atanufahika vipi kifedha, basi - ni wachache wanao tilia maanani kutumikia/hudumia wananchi!!!Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako.
Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni?
Kwamba, David Silinde ana mfuko wa Jimbo lakini Bashiru na Polepole hawana?!!!
Jamani mwacheni Mungu na aitwe Mungu.
Kazi Iendelee!
Kwa kweli tunawachukia Sana. Ni watu waliojitoa akili zao kumwabudu Mwendazake. Wacha tuwachambe roho zetu zifurahiWatanzania bwana??? Yaani muda wote ni kufikiria huyu atafahidika nini, atanufahika vipi kifedha, basi - ni wachache wanao tilia maanani kutumikia/hudumia wananchi!!!
We fikiria mtu anajitokeza na anaonekana amefurahi kupindukia, kisa? Komredi Polepole na Dk.Bashiru hawapewi mfuko wa jimbo - yaani anataka na hiyo tuichukulie kama ni habari ya maana - kumbe lengo lake la kubandika habari hizi hapa linatokana na kusukumwa na chuki binafsi kuwahusu watu hawa wawili: H.Pole Pole na Dk. Bashiru kutokana na misimamo yao dhabiti dhidi ya wizi na ubadhirifu na uporaji wa mali za CCM na mashirika ya UMMA in general
Kwa kweli tunawachukia Sana. Ni watu waliojitoa akili zao kumwabudu Mwendazake. Wacha tuwachambe roho zetu zifurahi
Kwani Mzee Mgaya anasemaje kuhusu hili?Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako.
Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni?
Kwamba, David Silinde ana mfuko wa Jimbo lakini Bashiru na Polepole hawana?!!!
Jamani mwacheni Mungu na aitwe Mungu.
Kazi Iendelee!
Ngoja report kutoka BOT ndio uje kubwabwaja huo uharo wako.Watanzania bwana??? Yaani muda wote ni kufikiria huyu atafahidika nini, atanufahika vipi kifedha, basi - ni wachache wanao tilia maanani kutumikia/hudumia wananchi!!!
We fikiria mtu anajitokeza na anaonekana amefurahi kupindukia, kisa? Komredi Polepole na Dk.Bashiru hawapewi mfuko wa jimbo - yaani anataka na hiyo tuichukulie kama ni habari ya maana - kumbe lengo lake la kubandika habari hizi hapa linatokana na kusukumwa na chuki binafsi kuwahusu watu hawa wawili: H.Pole Pole na Dk. Bashiru kutokana na misimamo yao dhabiti dhidi ya wizi na ubadhirifu na uporaji wa mali za CCM na mashirika ya UMMA in general
Watanzania bwana??? Yaani muda wote ni kufikiria huyu atafahidika nini, atanufahika vipi kifedha, basi - ni wachache wanao tilia maanani kutumikia/hudumia wananchi!!!

Alimuhangaikia kwa njaa na maslai yake binafsi,sasa alishajua mungu Kayafa akifa yatamkuta haya yanayomkuta sasa hivi"Rip magufuli. Bashiru pamoja na kusingiziwa wizi ila baadhi ya watanzania wachache tunajua bashiru alipambania sana afya ya jpm.
Nyie hamuwezi kuelewa mnawaza figisu za kisiasa.ila ipo siku mtajua ni kiasi gani alimuangaikia jpm. Bashiru ni mtu royal sana.
Bashiru hicho kidogo ulichokifanya Mungu akubariki.zile rimot control usingefanya zaidi ya hapo.wachache tu ndo tunatambua msaada yako.Mungu akulinde"
Alisikika mtu mmoja akitamka maneno haya.
Bashiru na Polepole" Ni wabunge wa KUTEULIWA na RAIS " na Sio wabunge wa viti Maalum.Ubunge wa viti Maalum wanapewa jinsia ya kike TU.Lakini wabunge wa KUTEULIWA na RAIS ANAWEZA akawa wa jinsia yoyote(Mwanamke au Mwanaume)