Dkt. Bashiru: Namshukuru Rais Samia kwa kuniteua kuwa mbunge, hii ni heshima kubwa kwangu kwani hadi sasa tuko nane

Dkt. Bashiru: Namshukuru Rais Samia kwa kuniteua kuwa mbunge, hii ni heshima kubwa kwangu kwani hadi sasa tuko nane

Nyumba za ccm ulizokuwa umejimilikisha zinakutoa roho!! Huyo ndo bashiru mfia nchi. Jimilikisheni tena! Lkn mjue kuna mwamba mwingine huko mbeleni atakuja na atapita na account zenu kwa kujilipia mapesa kwa mali isiyo yako. Mbaya zaidi utakuwa umeishakuwa kibabu na wajukuu zako watajuta kuwa babu yao.
unaota, wla hueleweki.. nani kajimilikisha nyumba?
 
Mbunge wa kuteuliwa Dkt. Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge.

Dkt. Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa na Rais wako wanane tu hivyo anamshukuru sana kwa imani hiyo kwake.

Dkt. Bashiru amesema hayo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo.

Chanzo: Bungeni
Bashiru Kakurwa, katika maisha usijifanye wa juu sanaaaaa ili utakaposhuka watu waone uko kawaida yako tu. Ni hatari kujisahau mpaka ukafikiri kuwa una nafasi ya MUNGU wakati haitatokea milele
 
Nyumba za ccm ulizokuwa umejimilikisha zinakutoa roho!! Huyo ndo bashiru mfia nchi. Jimilikisheni tena! Lkn mjue kuna mwamba mwingine huko mbeleni atakuja na atapita na account zenu kwa kujilipia mapesa kwa mali isiyo yako. Mbaya zaidi utakuwa umeishakuwa kibabu na wajukuu zako watajuta kuwa babu yao.
Shukrani sana kuliona hilo, ni kweli wengi wanao msema vibaya na kumbeza beza Dk.Bashiru ni wale ambao walikuwa wamejimilikisha mali ya CHAMA tawala - Bashiru ndiye kasimamia zoezi zima la kuwanyanganya mali za CHAMA wezi walio kubuhu, alitekeleza kazi aliyo pewa na Chama kwa ufanisi mkubwa bila ya kuogopa mtu - sasa zoezi hilo la kuonyesha uzalendo wa kweli ndio limemjengea maadui wengi wanao shinda humu wakimkandia na kuleta stori za kutunga tu, wanatamani afukuzwe mpaka kwenye chama kama ikiwezekana!!
 
20210526_130744.jpg

Pumba tupu huyu...
 
Bashiru aliwageuka hata ma sheikh wake kina JK....Jafo pia alikuwa muimba mapambio alikuwavradhi amzalie mwendazake walahi sio kwa kujipendekeza kule
 
Bashiru ana akili anajua kukaa kimya

Amekaa kimya kivipi, sura kakunja kila saa na macho kama anataka kujificha ikiashiria waziwazi kuna uovu fulani kaufanya, tena amshukuru sana sanaaa Mh. Rais Samia, nadhani atajifunza.
 
Toka uteuliwe leo ndio unashukuru au ulidhani unapewa Uwaziri?
Ila jamaa ametoa changamoto nzuri sana kwa serikali kutafakari jinsi inavyoweza kuleta mabadiliko yenye ufanisi kwenye maendeleo ya kiil
Kwa akili ya kawaida huwezi kusema eti wakulima wa Tanzania wanahuruma na wakati wewe ndiye ulie amua kupanga Bei na kuwachagulia wapi wauze mazao yao
 
Shukrani sana kuliona hilo, ni kweli wengi wanao msema vibaya na kumbeza beza Dk.Bashiru ni wale ambao walikuwa wamejimilikisha mali ya CHAMA tawala - Bashiru ndiye kasimamia zoezi zima la kuwanyanganya mali za CHAMA wezi walio kubuhu, alitekeleza kazi aliyo pewa na Chama kwa ufanisi mkubwa bila ya kuogopa mtu - sasa zoezi hilo la kuonyesha uzalendo wa kweli ndio limemjengea maadui wengi wanao shinda humu wakimkandia na kuleta stori za kutunga tu, wanatamani afukuzwe mpaka kwenye chama kama ikiwezekana!!

..ni mali za umma, nyingi ni mali zilizopatikana wakati chama kimeshika hatamu.

..mimi ningemheshimu Bashiru kama angekuwa mzalendo na kuzirudisha mali hizo serikalini.
 
Nasubiri kitabu chake huyu Bashiru Ally ...nitapenda kukisoma...from No 4 to Vitu Maalum ...From Masaki to Msewe
 
yaani ukipewa ubunge wa viti maalumu ni heshima kubwa sana maana ni hela ambazo huwezi kugawana na wananchi wako
Sio Kwa mtu aliyekuwa katibu mkuu wa CCM / Katibu mkuu kiongozi ( nafasi za kitaifa)
 
Back
Top Bottom