mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mimi ningemuona bashiru kapotea kama angefukuzwa moja Kwa moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ulizikiliza mchango wake WOTE ??Mbona hajamshukuru JPM kwa kumteua kuwa Balozi, katibu mkuu wa Rais, kwa mwezi mmoja tu?
Brother Dr. Bashiru kwanza naomba nikupongeze na kukupa pole sana kwa yaliokukuta.Mbunge wa kuteuliwa Dr Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge.
Dr Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa na Rais wako wanane tu hivyo anamshukuru sana kwa imani hiyo kwake.
Dr Bashiru amesema hayo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo.
Chanzo: Bungeni
Hakuna sense kwenye hayo alioongea!Mbunge wa kuteuliwa Dr Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge.
Dr Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa na Rais wako wanane tu hivyo anamshukuru sana kwa imani hiyo kwake.
Dr Bashiru amesema hayo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo.
Chanzo: Bungeni
Hafai kabisa huyo boyaBrother Dr. Bashiru kwanza naomba nikupongeze na kukupa pole sana kwa yaliokukuta.
Wewe ukiwa kama mwanataaluma mbobezi ulijitoa ufahamu na kuanza kufanya mambo ya ajabu kabisa kumfurahisha aliyekuweka na kukupandisha kwa pupa mara nyingi bila hata ya kuzingatia taratibu na kanuni husika.
Ulipatiwa nafasi ya katibu mkuu wa CCM pasipo hata kuwa Mwanachama mwenye muda mrefu katika medali za kichama.
Pia ukapaishwa kuwa katibu mkuu kiongozi pasipo hata kuwa na sifa za kuweza kupata nafasi hiyo adimu.
Ulinyanyasa sana wapinzani na hata pia wanachama wa ccm kwa kujiona kana kwamba wewe ni dola pamoja na mwenzako asiyejielewa ndugu Polepole.
Ulimtuhumu Kachero B.K. Membe na kumwita hadharani kinyume kabisa cha kanuni na miongozo ya chama.
Yeye alitajwa na Agent wa Umbea na Uongo ulietukuka ndugu Musiba ndiye yeye aliomshambulia Membe sasa iweje Membe ndio aitwe kwenye kikao cha Nidhami public without kuangalia madhara atakayopata mbele ya jamii na hatimaye kumfukuza uanachama.
Pia kukata baadhi ya majina wa wateule wa chama waliopita katika kura za maoni na kuweka majina yaluokupendeza wewe binafsi.
Sasa yamekukuta ya kukukuta, mwana kulitafuta mwana kulipata.
Rudi UDSM uendelee na kupiga chaki hapo ulipo utaendelea kufedheheka sana.
Alimshukuru! Alipopewa nafasi ya kuongea. Baada ya kuapishwa, akifuatiwa na naibu Spika na Prof. Ibrahim wa Mahakama. Au ulitaka kuonyesha chuki kwa kujifanya kichaa?Mbona hajamshukuru JPM kwa kumteua kuwa Balozi, katibu mkuu wa Rais, kwa mwezi mmoja tu?
Mchango wake baada ya kumshukuru mama Samia, ulionyesha kuwa Kamati yao ya kilimo iko makini sana na imetafiti kwa undani wajibu wao. Wameorodhesha changamoto zilizopo na kusuggest njia muhimu za kuzitatua, kwa kulielekeza bunge na serikali. So far, ni riport nzuri ukilinganisha na riport za Kamati nyingine.Mbunge wa kuteuliwa Dr Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge.
Dr Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa na Rais wako wanane tu hivyo anamshukuru sana kwa imani hiyo kwake.
Dr Bashiru amesema hayo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo.
Chanzo: Bungeni
Sasa wewe Bashiru, Doto pamoja na genge lenu mbona mnamtukana mama mitandaoni? Muweni na shukrani mtu kama Doto ilibidi awe jela kwa wizi na mauaji ya Lwajabe pale Hazina.
Sizitaki mbichi hizi!Ni bora nibaki kua machinga kuliko kua msomi fa,la kama Bashiru.
Je ulisikiliza makofi bungeni! Muulize mbunge wakoHana mvuto huyu mpuuzi
Sina mbunge na wala hatuna bungeJe ulisikiliza makofi bungeni! Muulize mbunge wako
Ana ndeleHizi nyuzi zako za kila dk tukifungua sisi ban nje nje. Sijui ww una cheo gani humu
Hahahaaaa..... Utateseka sanaHizi nyuzi zako za kila dk tukifungua sisi ban nje nje. Sijui ww una cheo gani humu
Mwambie anywe tangawizi kwa sana!Ana ndele
We nani? Una mamlaka gani kumpagia Dk.Bashiru ashukuru lipi aache lipi - watu wanazungumzia the present wewe unaendelea ku-dwell in the past ,kisa? Unataka kupiga vijembe Dk.Bashiru kiaina - typical some Tanzanian endowed with inborn/inbuilt sadism,unamsema vibaya Dk.Bashiru wakati wewe hata ujumbe wa kata haumo kabisa.Mbona hajamshukuru JPM kwa kumteua kuwa Balozi, katibu mkuu wa Rais, kwa mwezi mmoja tu?
Ukweli unauma Kigogo anawafanya Wahusika kubadili gia AnganiWafuasi wa Kigogo siku hizi wameshtuka kuwa walikuwa wana exlishwa michembe mibichi ila wewe tu ndio bado umeunga tera!
Ulikuwa ni uzushi tu wa Bavicha!Hivi ile hela waliyotoa hazina yeye na Dotto James walisharudisha bwashee?
Mbunge wa kuteuliwa Dr Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge.
Dr Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa na Rais wako wanane tu hivyo anamshukuru sana kwa imani hiyo kwake.
Dr Bashiru amesema hayo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo.
Chanzo: Bungeni
Ukiwa mwanasiasa kuna sehemu ya akili hupungua, yaani Dr. Bashiru anashukuru kutimuliwa kazi na kupewa Ubunge wa Viti Maalum...!!!Mbunge wa kuteuliwa Dr Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge.
Dr Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa na Rais wako wanane tu hivyo anamshukuru sana kwa imani hiyo kwake.
Dr Bashiru amesema hayo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo.
Chanzo: Bungeni