Dkt. Bashiru: Namshukuru Rais Samia kwa kuniteua kuwa mbunge, hii ni heshima kubwa kwangu kwani hadi sasa tuko nane

Mbunge wa kuteuliwa Dr Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge.

Dr Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa na Rais wako wanane tu hivyo anamshukuru sana kwa imani hiyo kwake.

Dr Bashiru amesema hayo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo.

Chanzo: Bungeni
Brother Dr. Bashiru kwanza naomba nikupongeze na kukupa pole sana kwa yaliokukuta.

Wewe ukiwa kama mwanataaluma mbobezi ulijitoa ufahamu na kuanza kufanya mambo ya ajabu kabisa kumfurahisha aliyekuweka na kukupandisha kwa pupa mara nyingi bila hata ya kuzingatia taratibu na kanuni husika.

Ulipatiwa nafasi ya katibu mkuu wa CCM pasipo hata kuwa Mwanachama mwenye muda mrefu katika medali za kichama.

Pia ukapaishwa kuwa katibu mkuu kiongozi pasipo hata kuwa na sifa za kuweza kupata nafasi hiyo adimu.

Ulinyanyasa sana wapinzani na hata pia wanachama wa ccm kwa kujiona kana kwamba wewe ni dola pamoja na mwenzako asiyejielewa ndugu Polepole.

Ulimtuhumu Kachero B.K. Membe na kumwita hadharani kinyume kabisa cha kanuni na miongozo ya chama.

Yeye alitajwa na Agent wa Umbea na Uongo ulietukuka ndugu Musiba ndiye yeye aliomshambulia Membe sasa iweje Membe ndio aitwe kwenye kikao cha Nidhami public without kuangalia madhara atakayopata mbele ya jamii na hatimaye kumfukuza uanachama.

Pia kukata baadhi ya majina wa wateule wa chama waliopita katika kura za maoni na kuweka majina yaluokupendeza wewe binafsi.

Sasa yamekukuta ya kukukuta, mwana kulitafuta mwana kulipata.

Rudi UDSM uendelee na kupiga chaki hapo ulipo utaendelea kufedheheka sana.
 
Hakuna sense kwenye hayo alioongea!
 
Hafai kabisa huyo boya
 
Mbunge wa kuteuliwa Dr Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge.

Dr Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa na Rais wako wanane tu hivyo anamshukuru sana kwa imani hiyo kwake.

Dr Bashiru amesema hayo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo.

Chanzo: Bungeni
Mchango wake baada ya kumshukuru mama Samia, ulionyesha kuwa Kamati yao ya kilimo iko makini sana na imetafiti kwa undani wajibu wao. Wameorodhesha changamoto zilizopo na kusuggest njia muhimu za kuzitatua, kwa kulielekeza bunge na serikali. So far, ni riport nzuri ukilinganisha na riport za Kamati nyingine.
 
Mbona hajamshukuru JPM kwa kumteua kuwa Balozi, katibu mkuu wa Rais, kwa mwezi mmoja tu?
We nani? Una mamlaka gani kumpagia Dk.Bashiru ashukuru lipi aache lipi - watu wanazungumzia the present wewe unaendelea ku-dwell in the past ,kisa? Unataka kupiga vijembe Dk.Bashiru kiaina - typical some Tanzanian endowed with inborn/inbuilt sadism,unamsema vibaya Dk.Bashiru wakati wewe hata ujumbe wa kata haumo kabisa.
 
Mbunge wa kuteuliwa Dr Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge.

Dr Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa na Rais wako wanane tu hivyo anamshukuru sana kwa imani hiyo kwake.

Dr Bashiru amesema hayo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo.

Chanzo: Bungeni
 
Mbunge wa kuteuliwa Dr Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge.

Dr Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa na Rais wako wanane tu hivyo anamshukuru sana kwa imani hiyo kwake.

Dr Bashiru amesema hayo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo.

Chanzo: Bungeni
Ukiwa mwanasiasa kuna sehemu ya akili hupungua, yaani Dr. Bashiru anashukuru kutimuliwa kazi na kupewa Ubunge wa Viti Maalum...!!!
 
Back
Top Bottom