unaota, wla hueleweki.. nani kajimilikisha nyumba?Nyumba za ccm ulizokuwa umejimilikisha zinakutoa roho!! Huyo ndo bashiru mfia nchi. Jimilikisheni tena! Lkn mjue kuna mwamba mwingine huko mbeleni atakuja na atapita na account zenu kwa kujilipia mapesa kwa mali isiyo yako. Mbaya zaidi utakuwa umeishakuwa kibabu na wajukuu zako watajuta kuwa babu yao.
Ukiwa unatumia kejeli na matusi ni lazima nyuzi zako zifutwe!JF imekuwa vijiwe vya mpira na kahawa Melo hao mode uliowaweka ni ugoro mtupu tunaimiss ile JF real
Bashiru Kakurwa, katika maisha usijifanye wa juu sanaaaaa ili utakaposhuka watu waone uko kawaida yako tu. Ni hatari kujisahau mpaka ukafikiri kuwa una nafasi ya MUNGU wakati haitatokea mileleMbunge wa kuteuliwa Dkt. Bashiru amesema anamshukuru sana mh Rais Samia kwa heshima kubwa na imani aliyoionyesha kwake kwa kumteua kuwa mbunge.
Dkt. Bashiru amesema hadi sasa wabunge wa kuteuliwa na Rais wako wanane tu hivyo anamshukuru sana kwa imani hiyo kwake.
Dkt. Bashiru amesema hayo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo.
Chanzo: Bungeni
Shukrani sana kuliona hilo, ni kweli wengi wanao msema vibaya na kumbeza beza Dk.Bashiru ni wale ambao walikuwa wamejimilikisha mali ya CHAMA tawala - Bashiru ndiye kasimamia zoezi zima la kuwanyanganya mali za CHAMA wezi walio kubuhu, alitekeleza kazi aliyo pewa na Chama kwa ufanisi mkubwa bila ya kuogopa mtu - sasa zoezi hilo la kuonyesha uzalendo wa kweli ndio limemjengea maadui wengi wanao shinda humu wakimkandia na kuleta stori za kutunga tu, wanatamani afukuzwe mpaka kwenye chama kama ikiwezekana!!Nyumba za ccm ulizokuwa umejimilikisha zinakutoa roho!! Huyo ndo bashiru mfia nchi. Jimilikisheni tena! Lkn mjue kuna mwamba mwingine huko mbeleni atakuja na atapita na account zenu kwa kujilipia mapesa kwa mali isiyo yako. Mbaya zaidi utakuwa umeishakuwa kibabu na wajukuu zako watajuta kuwa babu yao.
Na iwe hivoo( ameen)Ni bora nibaki kua machinga kuliko kua msomi fa,la kama Bashiru.
Hivi ile hela waliyotoa hazina yeye na Dotto James walisharudisha bwashee?
Bashiru ana akili anajua kukaa kimya
Toka uteuliwe leo ndio unashukuru au ulidhani unapewa Uwaziri?
Kwa akili ya kawaida huwezi kusema eti wakulima wa Tanzania wanahuruma na wakati wewe ndiye ulie amua kupanga Bei na kuwachagulia wapi wauze mazao yaoIla jamaa ametoa changamoto nzuri sana kwa serikali kutafakari jinsi inavyoweza kuleta mabadiliko yenye ufanisi kwenye maendeleo ya kiil
Shukrani sana kuliona hilo, ni kweli wengi wanao msema vibaya na kumbeza beza Dk.Bashiru ni wale ambao walikuwa wamejimilikisha mali ya CHAMA tawala - Bashiru ndiye kasimamia zoezi zima la kuwanyanganya mali za CHAMA wezi walio kubuhu, alitekeleza kazi aliyo pewa na Chama kwa ufanisi mkubwa bila ya kuogopa mtu - sasa zoezi hilo la kuonyesha uzalendo wa kweli ndio limemjengea maadui wengi wanao shinda humu wakimkandia na kuleta stori za kutunga tu, wanatamani afukuzwe mpaka kwenye chama kama ikiwezekana!!
Alikuwa anasubiria kuona kama kitanuka zaidi au lah, hazina palikuwa pa motoToka uteuliwe leo ndio unashukuru au ulidhani unapewa Uwaziri?
Sio Kwa mtu aliyekuwa katibu mkuu wa CCM / Katibu mkuu kiongozi ( nafasi za kitaifa)yaani ukipewa ubunge wa viti maalumu ni heshima kubwa sana maana ni hela ambazo huwezi kugawana na wananchi wako