Dkt. Bashiru piga moyo konde na usonge mbele

Uswahili tunaungaunga dot

SAMIA, BASHIRU, MAJARIWA, CDF, JK, MWINYI.

Wacha tuuze maji ya mzee kandoro
 
Alikuwa anajimwambafai kuwa wao kama ccm wanaendelea kutawala kwa kuitumia dola.

Sasa anashindwa nini kuitumia dola akalazimisha kubakia jengo jeupe akila kuku?
Kwani sasa hivi hayupo kwenye dola?
 
Kabisa yaani yeye na Jah people wa makambako hana tofauti na DR Bashiru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Hahaha nina tabiri hatauliza swali lolote bungeni pengine yupo kifungo cha bungeni!
 
Hapa scientists tunajipanga kurudi kwenye urais tuendelee kutumia akili zetu kubwa tulizojaaliwa na Mwenyezi na tuendelee kumuenzi jembe letu Magufuli, mangwini yamezidi kutuvurugia nchi na reasoning zao nyepesi nyepesi...
 
Umeandika point kubwa sana
 
Hahaha haha bwana chawa aise mtafute akupatie hata pesa ya kula kwa hii kazi aliyokutuma... Chawa mna kazi duh
 
Umetabiri vizuri sana mkuu ki saikolojia atalazimika kukaa kimya sana na kama ataenda huko bungeni ni kufuata michuzi tu
Inaelekea kuna kitu alikosea Mhshimiwa yani ina onekana bora akae karibu na nyoka kuliko huyu jamaa!!
 
Wewe unaye msifia sana lakini wengine tunamuona tofauti,tulikuwa tuna muona kwenye mikamera kama anayejitoa ufahamu,sikia watu wana uwezo mzuri wa kifikiri na huo uwezo mzuri wa kufikiri hutokana matumizi makubwa ya ubungo binadamu ana akili nyingi sana lkn binadamu huyo huyo asipo utumia ubongo wake mwingi anakua hana akili,nataka kukufaahamisha kwamba kuna watu wana akili sana kuliko hata huyo unaye msifia ila hawajapata hizo nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…