Dkt. Bashiru piga moyo konde na usonge mbele

Wakati nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam enzi zile Hayati Dr.

Magufuli akimalizia masomo yake ya Shahada ya Uzamivu, nilimtambua Dkt Bashiru kama Msomi, Mzalendo, Mjamaa na mpenda mabadiliko ya dhati kwa maendeleo ya wananchi.

Kamwe sikutarajia kama IPO siku Dkt Bashiru atakuwa sehemu ya Chama tawala wala Serikali iliyopo madarakani maana viongozi wenzake wangempinga na kumtenga kutokana na imani na itikadi yake ya kuwakomboa watanzania kutoka katika umasikini, rushwa, maradhi na ujinga.

Naamini 100% kwamba Dkt Bashiru pia hakuwahi kufikiria kugombea vyeo vya kisiasa wala nafasi za uongozi.

Hulka yake, uzalendo wake na uchapa kazi wake ndizo tunu zilizomgusa JPM hadi kumuona kama msaada mkubwa katika kurudisha nidhamu ya chama na uwajibikaji wa chama kwa wananchi. Kazi hiyo aliifanya vyema na kurejesha nidhani, Hadji na sifa ya chama katika jamii.

Mafanikio ya Bashiru katika Chama, yalimuaminisha Mheshimiwa Hayati JPM kwamba Bashiru anafaa kuziba pengo LA katibu Mkuu Kiongozi
Hakika ni kwamba uteuzi wa Bashiru kushika Ukatibu Mkuu wa Chama, uliwashangaza wengi kama ambavyo pia uteuzi wa Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi ulivyowashtua wengi.

Leo hii, mheshimiwa Rais Samia ametengua uteuzi huo kwa kumteua katibu Mkuu Mwingine na Kumteua Dkt Bashiru kuwa Mbunge.

Mheshimiwa Bashiru, hiki ni kipimo cha ukomavu na weledi ndani ya kipindi kifupi.

Kuwa na moyo dhabiti na utulivu wa nafsi na kukubaliana na hali. Endelea kuchapa kazi kwa weledi, usithubutu kuungana na kundi lolote, simamia msimamo wako.

Tambua pia kwamba, mabadiliko makubwa uliyoanzisha katika chama yamekujengea chuki na uhasama mkubwa kwa mafisadi ndani na nje ya chama. Unapaswa kuchukua tahadhali zote za msingi.

Baada ya mtikisiko mfupi, utazidi kuwa imara zaidi na nyota yako itang'ara. Kila LA kheri katika Majukumu yako ya Kibunge, saidiana na Mh. Polepole kukiimarisha chama na kumuunga mkono kwa dhati Mama Yetu Samia Suluhu Hassan. Uamuzi wake usikurudishe nyuma, Songa Mbele
Kwangu hadi achomolewe Ali Hapi, Chalamila, Sabaye, Polepole na gambo asipite tena hapo ntavuta Pepsi bariidi huku nikichangia mijadala ya humu JamiiForums, wamewakashifu sana wazee wa chama kuwaambia zama zao zimekwisha, sasa kumbe kibao kimewageukia, wao walimtegemea mwanadamu wazee wakamtegemea Mungu.
 
Akiweza kumtoa Erio nssf ntamuona mama kweli ni mwanamke wa shoka, mtoto wa dada wa marehemu hashikiki
Asante sana Mh. Rais Samia Suluhu Hassan. Hakika kazi kubwa ya kumtoa Bashiru hapo Ikulu imekuongezea heshima kubwa mno. Nimefurahi mno unaepuka watu walioshiriki kwa kiasi kikubwa kuharibu Amani na Demokrasia Tanzania, kutesa watu na mambo mengi makubwa. Walioshirili kikubwa mno katika udikteta na ukandamizaji wa demokrasia. Walioshiriki na kutoa mbinu chafu za kugawa Tanzania kwa ukanda na ukabila. Mama yetu mpendwa RAIS leo umeliheshimisha Taifa la TANZANIA.
Mungu aendelee kukupa utulivu na umakini uendelee kusafisha na kupanga safu yako vizuri mno. Chanda chema huonekana Asubuhi. Hakika wewe ni chanda chema. Ninaiona Tanzania mpya ya Amani na FURAHA tena kwa watu wote na si kwa kikundi au kanda au kabila fulani. Mh. Rais wekeza pia juhudi katika kurejesha amani na Mshikamano bila kukali huyu katoka kanda ipi, kabila lipi na dini ipi.
Nimefurahi na Diplomasia umeitendea haki kabisa kwa kuangalia weledi. Tanzania mpya ndani na nje ya nchi.

I salute you Her Excellency, Samia Suluhu Hassan. May you be protected by Allah.
 
Wakati nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam enzi zile Hayati Dr.

Magufuli akimalizia masomo yake ya Shahada ya Uzamivu, nilimtambua Dkt Bashiru kama Msomi, Mzalendo, Mjamaa na mpenda mabadiliko ya dhati kwa maendeleo ya wananchi.

Kamwe sikutarajia kama IPO siku Dkt Bashiru atakuwa sehemu ya Chama tawala wala Serikali iliyopo madarakani maana viongozi wenzake wangempinga na kumtenga kutokana na imani na itikadi yake ya kuwakomboa watanzania kutoka katika umasikini, rushwa, maradhi na ujinga.

Naamini 100% kwamba Dkt Bashiru pia hakuwahi kufikiria kugombea vyeo vya kisiasa wala nafasi za uongozi.

Hulka yake, uzalendo wake na uchapa kazi wake ndizo tunu zilizomgusa JPM hadi kumuona kama msaada mkubwa katika kurudisha nidhamu ya chama na uwajibikaji wa chama kwa wananchi. Kazi hiyo aliifanya vyema na kurejesha nidhani, Hadji na sifa ya chama katika jamii.

Mafanikio ya Bashiru katika Chama, yalimuaminisha Mheshimiwa Hayati JPM kwamba Bashiru anafaa kuziba pengo LA katibu Mkuu Kiongozi
Hakika ni kwamba uteuzi wa Bashiru kushika Ukatibu Mkuu wa Chama, uliwashangaza wengi kama ambavyo pia uteuzi wa Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi ulivyowashtua wengi.

Leo hii, mheshimiwa Rais Samia ametengua uteuzi huo kwa kumteua katibu Mkuu Mwingine na Kumteua Dkt Bashiru kuwa Mbunge.

Mheshimiwa Bashiru, hiki ni kipimo cha ukomavu na weledi ndani ya kipindi kifupi.

Kuwa na moyo dhabiti na utulivu wa nafsi na kukubaliana na hali. Endelea kuchapa kazi kwa weledi, usithubutu kuungana na kundi lolote, simamia msimamo wako.

Tambua pia kwamba, mabadiliko makubwa uliyoanzisha katika chama yamekujengea chuki na uhasama mkubwa kwa mafisadi ndani na nje ya chama. Unapaswa kuchukua tahadhali zote za msingi.

Baada ya mtikisiko mfupi, utazidi kuwa imara zaidi na nyota yako itang'ara. Kila LA kheri katika Majukumu yako ya Kibunge, saidiana na Mh. Polepole kukiimarisha chama na kumuunga mkono kwa dhati Mama Yetu Samia Suluhu Hassan. Uamuzi wake usikurudishe nyuma, Songa Mbele

Naona unamwaga sifa kwa jizi la kura ili lisifunguke na kumwaga siri zote za wizi wa kura.
 
Achape kazi ipi? Hiyo ya viti maalumu kama wanawake?
 
Asante sana Mh. Rais Samia Suluhu Hassan. Hakika kazi kubwa ya kumtoa Bashiru hapo Ikulu imekuongezea heshima kubwa mno. Nimefurahi mno unaepuka watu walioshiriki kwa kiasi kikubwa kuharibu Amani na Demokrasia Tanzania, kutesa watu na mambo mengi makubwa. Walioshirili kikubwa mno katika udikteta na ukandamizaji wa demokrasia. Walioshiriki na kutoa mbinu chafu za kugawa Tanzania kwa ukanda na ukabila. Mama yetu mpendwa RAIS leo umeliheshimisha Taifa la TANZANIA.
Mungu aendelee kukupa utulivu na umakini uendelee kusafisha na kupanga safu yako vizuri mno. Chanda chema huonekana Asubuhi. Hakika wewe ni chanda chema. Ninaiona Tanzania mpya ya Amani na FURAHA tena kwa watu wote na si kwa kikundi au kanda au kabila fulani. Mh. Rais wekeza pia juhudi katika kurejesha amani na Mshikamano bila kukali huyu katoka kanda ipi, kabila lipi na dini ipi.
Nimefurahi na Diplomasia umeitendea haki kabisa kwa kuangalia weledi. Tanzania mpya ndani na nje ya nchi.

I salute you Her Excellency, Samia Suluhu Hassan. May you be protected by Allah.
Miaka miwili ijayo utakuja na mada ingine
kumlaumu Rais wako huyu, si tunangoja muda tu. Miafrika ndivyo mlivyo cc Nyani ngabu.
 
Bashiru kupata Ubunge pekee haitoshi ilipaswa Awekwe pembeni sehemu ili upite uchunguzi makini sana nashaka hata na Uraia wake, Ilikuwaje magu amfanye msimamizi wa watumishi wote tz hii inanipa ukakasi tungejikuta kila sehemu kuna wageni Mama Samia kwa kweli tuna imanj kubwa sana na wewe Mheshimiwa Rais
Tukianza mambo ya uraia si ajabu wakabaki Wagogo peke yao hapa Tanzania, na hata utashangaa kuja kusikia asili yenu ni Sudani kusini.
 
Mkuuu kufurahia Mabaya ya mwenzako ni dalili mbaya sana na ni hulka ya Kimaskini na inatupa picha kwamba wewe ni mtu wa aina gani.
Kikubwa tumwombee Bashiru apokee mabadiliko haya kwa mtazamo chanya. Kwa wanaomfahamu Bashiru tangu akiwa Department ya Political Science pale the Hill watakuwa mshahidi kwamba Kilichomponza Bashiru ni Nidhamu yake na Usikivu wake kwa Boss wake. Mhe. Balozi Kakurwa jipe Moyo haya ni mapito tu[emoji120][emoji120][emoji120]
Aende huko, si alisema anaweza kutumia dola kubaki madarakani, sasa mbona hajatumia hiyo dola na wew unakuja kuleta ngonjera za huruma humu.
 
Hata vitambaa vya suits alivyopeleka kwa fundi bado havijamaliziwa kushonwa, daah!😓
 
Asante sana Mh. Rais Samia Suluhu Hassan. Hakika kazi kubwa ya kumtoa Bashiru hapo Ikulu imekuongezea heshima kubwa mno. Nimefurahi mno unaepuka watu walioshiriki kwa kiasi kikubwa kuharibu Amani na Demokrasia Tanzania, kutesa watu na mambo mengi makubwa. Walioshirili kikubwa mno katika udikteta na ukandamizaji wa demokrasia. Walioshiriki na kutoa mbinu chafu za kugawa Tanzania kwa ukanda na ukabila. Mama yetu mpendwa RAIS leo umeliheshimisha Taifa la TANZANIA.
Mungu aendelee kukupa utulivu na umakini uendelee kusafisha na kupanga safu yako vizuri mno. Chanda chema huonekana Asubuhi. Hakika wewe ni chanda chema. Ninaiona Tanzania mpya ya Amani na FURAHA tena kwa watu wote na si kwa kikundi au kanda au kabila fulani. Mh. Rais wekeza pia juhudi katika kurejesha amani na Mshikamano bila kukali huyu katoka kanda ipi, kabila lipi na dini ipi.
Nimefurahi na Diplomasia umeitendea haki kabisa kwa kuangalia weledi. Tanzania mpya ndani na nje ya nchi.

I salute you Her Excellency, Samia Suluhu Hassan. May you be protected by Allah.
Rekebisha Haye:
1. Chanda chema huvishwa pete
2. Nyota njema huonekana asubuhi
3. Your excellency
 
Shida kubwa ya Bashiru ni silika yake ya anakotoka. Kupuuza wengine, majivuno na kuonyesha ujuaji mwingi. Alisahau alichokipigania kwa miaka mingi kisa kwa kupewa vyeo. Alichopata alistahili
 
Wakati nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam enzi zile Hayati Dr.

Magufuli akimalizia masomo yake ya Shahada ya Uzamivu, nilimtambua Dkt Bashiru kama Msomi, Mzalendo, Mjamaa na mpenda mabadiliko ya dhati kwa maendeleo ya wananchi.

Kamwe sikutarajia kama IPO siku Dkt Bashiru atakuwa sehemu ya Chama tawala wala Serikali iliyopo madarakani maana viongozi wenzake wangempinga na kumtenga kutokana na imani na itikadi yake ya kuwakomboa watanzania kutoka katika umasikini, rushwa, maradhi na ujinga.

Naamini 100% kwamba Dkt Bashiru pia hakuwahi kufikiria kugombea vyeo vya kisiasa wala nafasi za uongozi.

Hulka yake, uzalendo wake na uchapa kazi wake ndizo tunu zilizomgusa JPM hadi kumuona kama msaada mkubwa katika kurudisha nidhamu ya chama na uwajibikaji wa chama kwa wananchi. Kazi hiyo aliifanya vyema na kurejesha nidhani, Hadji na sifa ya chama katika jamii.

Mafanikio ya Bashiru katika Chama, yalimuaminisha Mheshimiwa Hayati JPM kwamba Bashiru anafaa kuziba pengo LA katibu Mkuu Kiongozi
Hakika ni kwamba uteuzi wa Bashiru kushika Ukatibu Mkuu wa Chama, uliwashangaza wengi kama ambavyo pia uteuzi wa Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi ulivyowashtua wengi.

Leo hii, mheshimiwa Rais Samia ametengua uteuzi huo kwa kumteua katibu Mkuu Mwingine na Kumteua Dkt Bashiru kuwa Mbunge.

Mheshimiwa Bashiru, hiki ni kipimo cha ukomavu na weledi ndani ya kipindi kifupi.

Kuwa na moyo dhabiti na utulivu wa nafsi na kukubaliana na hali. Endelea kuchapa kazi kwa weledi, usithubutu kuungana na kundi lolote, simamia msimamo wako.

Tambua pia kwamba, mabadiliko makubwa uliyoanzisha katika chama yamekujengea chuki na uhasama mkubwa kwa mafisadi ndani na nje ya chama. Unapaswa kuchukua tahadhali zote za msingi.

Baada ya mtikisiko mfupi, utazidi kuwa imara zaidi na nyota yako itang'ara. Kila LA kheri katika Majukumu yako ya Kibunge, saidiana na Mh. Polepole kukiimarisha chama na kumuunga mkono kwa dhati Mama Yetu Samia Suluhu Hassan. Uamuzi wake usikurudishe nyuma, Songa Mbele
Matahira kama nyie sijui mnakuwaga vipi? Yani kiufupi haujielewe... Hayati magufuli alivyofariki hili jamaa liliiba hela na ndomaana hata limetnguliwa kwenye hiyo nafasi, halafu linatokea jitu kama wewe eti piga moyo konde? Shwaini!!!!
 
Kakaa Ikulu mwezi mmoja.
Dude haribifu "weka mbali na watoto..."
Si kwa manunuzi yale... si kwa tuhuma zile... kimsingi HAFAI WALA HAKUFAA NAFASI YOYOTE ZAIDI YA KUFUNDISHA NADHARIA PALE CHUONI NA LUNINGANI...
Wakati watu wanamlaani yule wa UVCCM huyu msomi HABAKI NYUMA ASLANI... NDIO KINARA WA UTENGANO WA WATANZANIA PASI KUMSAHAU MZEE WA NGO YA VIJANA HP SLOWSLOW
 
Back
Top Bottom