Dkt. Bashiru piga moyo konde na usonge mbele

Ngojeni uchunguzi wa special Audi ya BOT nyie team Jiwe ndio muanze kujitetea! Huko nyuma mwalimu enzi zake alikuwa na wafuasi wengi lakini baada ya kufa wengi wao waliikana imani yake ya ujamaa!!! Kwahiyo Jiwe hatakuwa wa kwanza kukanwa!!! Chama chenu ni cha wanafiki. Bashiru sasa anaisoma namba!!!
IMG-20210401-WA0000.jpg
 
Wakati nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam enzi zile Hayati Dr.

Magufuli akimalizia masomo yake ya Shahada ya Uzamivu, nilimtambua Dkt Bashiru kama Msomi, Mzalendo, Mjamaa na mpenda mabadiliko ya dhati kwa maendeleo ya wananchi.

Kamwe sikutarajia kama IPO siku Dkt Bashiru atakuwa sehemu ya Chama tawala wala Serikali iliyopo madarakani maana viongozi wenzake wangempinga na kumtenga kutokana na imani na itikadi yake ya kuwakomboa watanzania kutoka katika umasikini, rushwa, maradhi na ujinga.

Naamini 100% kwamba Dkt Bashiru pia hakuwahi kufikiria kugombea vyeo vya kisiasa wala nafasi za uongozi.

Hulka yake, uzalendo wake na uchapa kazi wake ndizo tunu zilizomgusa JPM hadi kumuona kama msaada mkubwa katika kurudisha nidhamu ya chama na uwajibikaji wa chama kwa wananchi. Kazi hiyo aliifanya vyema na kurejesha nidhani, Hadji na sifa ya chama katika jamii.

Mafanikio ya Bashiru katika Chama, yalimuaminisha Mheshimiwa Hayati JPM kwamba Bashiru anafaa kuziba pengo LA katibu Mkuu Kiongozi
Hakika ni kwamba uteuzi wa Bashiru kushika Ukatibu Mkuu wa Chama, uliwashangaza wengi kama ambavyo pia uteuzi wa Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi ulivyowashtua wengi.

Leo hii, mheshimiwa Rais Samia ametengua uteuzi huo kwa kumteua katibu Mkuu Mwingine na Kumteua Dkt Bashiru kuwa Mbunge.

Mheshimiwa Bashiru, hiki ni kipimo cha ukomavu na weledi ndani ya kipindi kifupi.

Kuwa na moyo thabiti na utulivu wa nafsi na kukubaliana na hali. Endelea kuchapa kazi kwa weledi, usithubutu kuungana na kundi lolote, simamia msimamo wako.

Tambua pia kwamba, mabadiliko makubwa uliyoanzisha katika chama yamekujengea chuki na uhasama mkubwa kwa mafisadi ndani na nje ya chama. Unapaswa kuchukua tahadhari zote za msingi.

Baada ya mtikisiko mfupi, utazidi kuwa imara zaidi na nyota yako itang'ara. Kila LA kheri katika Majukumu yako ya Kibunge, saidiana na Mh. Polepole kukiimarisha chama na kumuunga mkono kwa dhati Mama Yetu Samia Suluhu Hassan. Uamuzi wake usikurudishe nyuma, Songa Mbele
Bashiru ni mnafiki mkubwa na alipewa ukatibu mkuu kiongozi kisiasa tu wala si kwa weledi wake. Ukanda ulizidi wskati wa hayati.
 
Huyu Bashiru alikuwa na kauli za kuchochea chuki sana ni halali apumzikie huko bungeni akijibu maswali ya nyongeza
Ajibu maswali gani!? "Yeye kwa Sasa ni Sawa tu na yule Mbunge wa Ulanga Goodluck Mkinga au yule mama wa THE BIG SEX PEYERS.
 
Mkuuu kufurahia Mabaya ya mwenzako ni dalili mbaya sana na ni hulka ya Kimaskini na inatupa picha kwamba wewe ni mtu wa aina gani.
Kikubwa tumwombee Bashiru apokee mabadiliko haya kwa mtazamo chanya. Kwa wanaomfahamu Bashiru tangu akiwa Department ya Political Science pale the Hill watakuwa mshahidi kwamba Kilichomponza Bashiru ni Nidhamu yake na Usikivu wake kwa Boss wake. Mhe. Balozi Kakurwa jipe Moyo haya ni mapito tu🙏🙏🙏
Naomba msaada; Dr. Bashiru Ally ni Balozi wa aina gani?
Hajafanya kazi Wizara ya Mambo ya Nje, ingawa aliteuliwa kuwa Balozi.
Je, ni Balozi mteule aliyeishia njiani au hadhi hiyo inakuwaje?
 
Wakati nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam enzi zile Hayati Dr.

Magufuli akimalizia masomo yake ya Shahada ya Uzamivu, nilimtambua Dkt Bashiru kama Msomi, Mzalendo, Mjamaa na mpenda mabadiliko ya dhati kwa maendeleo ya wananchi.

Kamwe sikutarajia kama IPO siku Dkt Bashiru atakuwa sehemu ya Chama tawala wala Serikali iliyopo madarakani maana viongozi wenzake wangempinga na kumtenga kutokana na imani na itikadi yake ya kuwakomboa watanzania kutoka katika umasikini, rushwa, maradhi na ujinga.

Naamini 100% kwamba Dkt Bashiru pia hakuwahi kufikiria kugombea vyeo vya kisiasa wala nafasi za uongozi.

Hulka yake, uzalendo wake na uchapa kazi wake ndizo tunu zilizomgusa JPM hadi kumuona kama msaada mkubwa katika kurudisha nidhamu ya chama na uwajibikaji wa chama kwa wananchi. Kazi hiyo aliifanya vyema na kurejesha nidhani, Hadji na sifa ya chama katika jamii.

Mafanikio ya Bashiru katika Chama, yalimuaminisha Mheshimiwa Hayati JPM kwamba Bashiru anafaa kuziba pengo LA katibu Mkuu Kiongozi
Hakika ni kwamba uteuzi wa Bashiru kushika Ukatibu Mkuu wa Chama, uliwashangaza wengi kama ambavyo pia uteuzi wa Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi ulivyowashtua wengi.

Leo hii, mheshimiwa Rais Samia ametengua uteuzi huo kwa kumteua katibu Mkuu Mwingine na Kumteua Dkt Bashiru kuwa Mbunge.

Mheshimiwa Bashiru, hiki ni kipimo cha ukomavu na weledi ndani ya kipindi kifupi.

Kuwa na moyo thabiti na utulivu wa nafsi na kukubaliana na hali. Endelea kuchapa kazi kwa weledi, usithubutu kuungana na kundi lolote, simamia msimamo wako.

Tambua pia kwamba, mabadiliko makubwa uliyoanzisha katika chama yamekujengea chuki na uhasama mkubwa kwa mafisadi ndani na nje ya chama. Unapaswa kuchukua tahadhari zote za msingi.

Baada ya mtikisiko mfupi, utazidi kuwa imara zaidi na nyota yako itang'ara. Kila LA kheri katika Majukumu yako ya Kibunge, saidiana na Mh. Polepole kukiimarisha chama na kumuunga mkono kwa dhati Mama Yetu Samia Suluhu Hassan. Uamuzi wake usikurudishe nyuma, Songa Mbele
Ama kweli wahenga walisema maiti haikosi mzikaji
 
Wabara kihama wanakiona
SI Wala shida tunaisikia kwa majirani
 
Mimi sitaki Kuwa Muongo, Nimejikuta Nakuwa na Chuki Na Rais Kwa Sasa, Anisamehe Ila Moyo Wangu Umejaa Gadhabu Sana Juu Yake [emoji19][emoji19][emoji19]
Mimi hasa najishangaa namhurumia Bashiru - siyo yeye kama yeye lakini ni symbolic. Mimi binafsi nishapitia alichopitia na sikia kwa mtu. Sijui yeye lakini lies move faster than truth nilisimamishwa kazi miezi 8 kwa tuhuma za uongo na boss akanichukia saana kumbe nilikuwa threat kwa watu fulani kazini hasa wanaposikia nasifiwa boardroom. Nisiseme mengi maana kuna watu humu watajua Theodora ni nani,hasa waliyonishika mkono na kunifariji wakati huo mgumu.

Baada ya uchunguzi walikuja wao kuniomba msamaha - nililia sana - lakini nikawaambia mshanichafua hilo doa mtaweza kulifuta vipi?
 
Wakati nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam enzi zile Hayati Dr.

Magufuli akimalizia masomo yake ya Shahada ya Uzamivu, nilimtambua Dkt Bashiru kama Msomi, Mzalendo, Mjamaa na mpenda mabadiliko ya dhati kwa maendeleo ya wananchi.

Kamwe sikutarajia kama IPO siku Dkt Bashiru atakuwa sehemu ya Chama tawala wala Serikali iliyopo madarakani maana viongozi wenzake wangempinga na kumtenga kutokana na imani na itikadi yake ya kuwakomboa watanzania kutoka katika umasikini, rushwa, maradhi na ujinga.

Naamini 100% kwamba Dkt Bashiru pia hakuwahi kufikiria kugombea vyeo vya kisiasa wala nafasi za uongozi.

Hulka yake, uzalendo wake na uchapa kazi wake ndizo tunu zilizomgusa JPM hadi kumuona kama msaada mkubwa katika kurudisha nidhamu ya chama na uwajibikaji wa chama kwa wananchi. Kazi hiyo aliifanya vyema na kurejesha nidhani, Hadji na sifa ya chama katika jamii.

Mafanikio ya Bashiru katika Chama, yalimuaminisha Mheshimiwa Hayati JPM kwamba Bashiru anafaa kuziba pengo LA katibu Mkuu Kiongozi
Hakika ni kwamba uteuzi wa Bashiru kushika Ukatibu Mkuu wa Chama, uliwashangaza wengi kama ambavyo pia uteuzi wa Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi ulivyowashtua wengi.

Leo hii, mheshimiwa Rais Samia ametengua uteuzi huo kwa kumteua katibu Mkuu Mwingine na Kumteua Dkt Bashiru kuwa Mbunge.

Mheshimiwa Bashiru, hiki ni kipimo cha ukomavu na weledi ndani ya kipindi kifupi.

Kuwa na moyo thabiti na utulivu wa nafsi na kukubaliana na hali. Endelea kuchapa kazi kwa weledi, usithubutu kuungana na kundi lolote, simamia msimamo wako.

Tambua pia kwamba, mabadiliko makubwa uliyoanzisha katika chama yamekujengea chuki na uhasama mkubwa kwa mafisadi ndani na nje ya chama. Unapaswa kuchukua tahadhari zote za msingi.

Baada ya mtikisiko mfupi, utazidi kuwa imara zaidi na nyota yako itang'ara. Kila LA kheri katika Majukumu yako ya Kibunge, saidiana na Mh. Polepole kukiimarisha chama na kumuunga mkono kwa dhati Mama Yetu Samia Suluhu Hassan. Uamuzi wake usikurudishe nyuma, Songa Mbele
Maneno mjarabu
 
Mama ameanza kujaza wazanzibari wenzake kwenye serikali ya Tanganyika.

Ndio maana tunataka katiba mpya, kila mtu afanye yake.
 
Back
Top Bottom