Mm sipo upande wowote hapa, ila nimejarib tuu kuwaza hapa namana Dr bashiru alivyoweza kupambana ndan ya chama mpka chama kimeweza kupata ushind tena wa kishindo, nadhan huyu jamaa alipambana sana katika hili lakin leo hii ndo kwisha habari yake katika siasa ni kama amepotzwa mazma. Hapa kuna funzo kubwa kwa wanasiasa wetu wa Tanzania, anguko hili la Dr Bashiru kuna cha kujifunza hapaa.kutoka katibu mkuu wa ccm, katibu mkuu kiongoz had mbunge wa kuteuliwa