Hizi nyuzi zote zitafukuliwa kwa kasi mambo yatakapokuwa peupe.Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10.
Dkt. Bashiru amesema Rais Magufuli atahudumu madarakani kwa miaka 10 kwa mujibu wa katiba ya sasa na kwamba propaganda za wapinzani hasa Chadema zipuuzwe.
Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama!
Marais wote watakaofuata baada ya Rais Magufuli kuna uwezekano wakaitumia katiba kikamilifu kama ambavyo Rais Magufuli anavyoitumia.Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10.
Dkt. Bashiru amesema Rais Magufuli atahudumu madarakani kwa miaka 10 kwa mujibu wa katiba ya sasa na kwamba propaganda za wapinzani hasa Chadema zipuuzwe.
Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama!
Wapiga dili lazima muumie maana mianya imeziba kabisaUnasemaaa?
Usimwamini sana, Museveni alipopata madaraka alieleza kutoongeza hata dakika ikiwa muda wake utafika ukomo kwa mujibu wa Katiba miaka hiyo, lakini leo yupo madarakani anaifanya katiba anavyo jisikia.Mbona hata Rais alishaweka wazi hataongeza hata sekunde moja hii ipo wazi kabisa.
Usinitajie huyo Mzee aisee.Usimwamini sana, Museveni alipopata madaraka alieleza kutoongeza hata dakika ikiwa muda wake utafika ukomo kwa mujibu wa Katiba miaka hiyo, lakini leo yupo madarakani anaifanya katiba anavyo jisikia.
Mara ngapi CCM mnafanya vitendo ambavyo vipo against na Katiba ya JmTWewe unabishana na katiba?
Kweli Rais hataki kuongeza lakini 84% ya Watanzania tunataka katiba ibadilishwe na tutashinikiza hilo kwa maandamano nchi nzimaUsimwamini sana, Museveni alipopata madaraka alieleza kutoongeza hata dakika ikiwa muda wake utafika ukomo kwa mujibu wa Katiba miaka hiyo, lakini leo yupo madarakani anaifanya katiba anavyo jisikia.
Amaaaandla....Na Uenyekiti wa Chama?
Amandla....
Na Mwenyekiti ana nguvu kuliko RaisA
Amaaaandla....
eWethu
Ewe bhuthi uwenyekiti milele
Dk wa tumbo street!Huyo naye ni Daktari?
Kwani umesikia kuna wagonjwa kama Lumumba?Ndio.
Hapo Ufipa kuna madaktari wangapi?
Kweli kabisaHata wapinzani sio wa kuwaamini. Kumbuka kuna mwenyekiti aliebadilisha katiba ya chama chake ili aendelee kutawala milele, pia wapo wengine ni wenyeviti wa vyama vyao toka mwaka 95 mpk leo.
Hata KAGAME alikataa katakata swala la kubadilisha katiba na kujiongezea MUDA.
....tutaomba kuwe na referendum na tuwe na chombo huru cha kusimamia kura zetu.
MAAJABU HAYATAISHA DUNIANI.
Sina shaka na utendaji wake lakini ni muhimu kuzingatia Katiba.Kweli Rais hataki kuongeza lakini 84% ya Watanzania tunataka katiba ibadilishwe na tutashinikiza hilo kwa maandamano nchi nzima
Kama ulivyosikia katika salamu za Christmas viongozi wote wa kidini wameshinikiza lazima atawale milele Yaani kifo Ndio kikomo chake
Huyu Rais ni mwema sana mwenye roho ya huruma na upendo kwa RAIA wake
Katika kipindi chake maisha yameboreka na watanzania tunaishi kama masultani kuanzisha wafanyakazi,. Wafanyabiashara hadi Wakulima
Shule bure
Huduma za afya bure
Miundo mbinu kila pahala
Yaani raha tupu
Ila wapiga dili lazima muumie maana mianya imeziba kabisa