42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Hizi nyuzi zote zitafukuliwa kwa kasi mambo yatakapokuwa peupe.Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10.
Dkt. Bashiru amesema Rais Magufuli atahudumu madarakani kwa miaka 10 kwa mujibu wa katiba ya sasa na kwamba propaganda za wapinzani hasa Chadema zipuuzwe.
Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama!