Dkt. Bashiru: Siyo kweli kwamba CCM itatumia wingi wao Bungeni kubadilisha Katiba ili kumuongezea muda Rais Magufuli kukaa madarakani!

Hatakubali kuendelea na urais ijapokuwa wabunge wa ccm wanataka iwe vile lkn juhudi zao zitagonga kwamba sababu katiba haiwezi chezewa ila naamini baada ya muda wake kuisha mabadiliko ya katiba hayakwepeki kea mustakabali wa nchi yetu.
 
Deo sanga ni mbunge wa chadema?
 
Kafana sana na Sokwe kwani nasema uongo ndugu yangu...!
Muongezeeni tu mda Mfalme JUHA atawale milele hakuna shida yoyote.
 
Nadhani unawazungumzia Lipumba, Mbowe na Mbatia!
John omba usajili kutoka kimojawapo ili ubalidi historia hizo basi,ila uweze kupita kwenye usaili na michujo kama sifa unazo ,ikiwa ni pamoja uzalendo halisi,pia na imani katika kukuza na kuendeleza mawazo mbadala kwa dhati na usiye nunulika na kurubuniwa na wasioamini katika mawazo mbadala kwa ujenzi wa taifa letu.
 
Kwahiyo Deo Sanga ni mwana CDM?
 
Mbona hata Rais alishaweka wazi hataongeza hata sekunde moja hii ipo wazi kabisa.
Punguza uzuzu wewe kwenye mambo yenye manufaa kwa taifa.
Wabunge mlio watuma kuyasema hayo juu ya kuongeza muda tunawajua na mmoja wao ni huyu hapa
 
Kwa akili yako na huyu hapa ni mpinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…