Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
ni kwasababu wananchi ni makondoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatakubali kuendelea na urais ijapokuwa wabunge wa ccm wanataka iwe vile lkn juhudi zao zitagonga kwamba sababu katiba haiwezi chezewa ila naamini baada ya muda wake kuisha mabadiliko ya katiba hayakwepeki kea mustakabali wa nchi yetu.Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10.
Dkt. Bashiru amesema Rais Magufuli atahudumu madarakani kwa miaka 10 kwa mujibu wa katiba ya sasa na kwamba propaganda za wapinzani hasa Chadema zipuuzwe.
Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama!
Deo sanga ni mbunge wa chadema?Wapinzani wakikosa hoja huwa wanakuja na vioja. Nakumbuka haya waliwahi kuyasema hata ktk miezi ya mwisho mwisho ya utawala wa JK kwamba anapanga kuongeza siku za kukaa madarakan, JK akawajibu kwamba hatozidisha hata dakika 1 ya kukaa madarakan kwa mujibu wa sheria. Sasa leo tena badala ya kuja na hoja zenye mashiko wao wanakuja na hoja za masikitiko.
Kafana sana na Sokwe kwani nasema uongo ndugu yangu...!unapokuwa hulipendi jambo usikosoe kwa kitu ambacho huna uwezo wa kuuumba.ukianza kukosoa maumbile wewe ni mpungufu sana wa akili.mwanadam kaumbwa kwa darja ya juu.ya viumbe wote ana utukufu.wewe kukaa kufananisha na kitu eti kisa hujapenda maoni yake ni ujuha.
kwan kaongea kibaya kipi si ana sababu zake.mbona china wamefanya hivo wew una akili kuwazid wachina??
na naskia urus nao wako mbion kumpa ujemedar kubwa lao putin kwa kazi zake za kiwango
kurudi kwwnye mada wewe mpinzan huna kabisa political tolerance yaan kitu cha kushindana kwa hoja unakimbilia kukosoa maumbile utafikir wewe umejiumba.
John omba usajili kutoka kimojawapo ili ubalidi historia hizo basi,ila uweze kupita kwenye usaili na michujo kama sifa unazo ,ikiwa ni pamoja uzalendo halisi,pia na imani katika kukuza na kuendeleza mawazo mbadala kwa dhati na usiye nunulika na kurubuniwa na wasioamini katika mawazo mbadala kwa ujenzi wa taifa letu.Nadhani unawazungumzia Lipumba, Mbowe na Mbatia!
Kwahiyo Deo Sanga ni mwana CDM?Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10.
Dkt. Bashiru amesema Rais Magufuli atahudumu madarakani kwa miaka 10 kwa mujibu wa katiba ya sasa na kwamba propaganda za wapinzani hasa Chadema zipuuzwe.
Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama!
Katiba kwa ccm haina maanaWewe unabishana na katiba?
Daktari wa kutoa mikopo kwa wabunge fulani hiviHuyo naye ni Daktari?
Na huyu ni mwana CDM?Ndio.
Hapo Ufipa kuna madaktari wangapi?
Umemaliza kaziKwani uamuzi wa kuongezewa mda wanao wao kama chama,au anao Magufuli kama ni mtu amabaye huamua mambo anavyotaka yeye
Punguza uzuzu wewe kwenye mambo yenye manufaa kwa taifa.Mbona hata Rais alishaweka wazi hataongeza hata sekunde moja hii ipo wazi kabisa.
Kwa akili yako na huyu hapa ni mpinzani?Wapinzani wakikosa hoja huwa wanakuja na vioja. Nakumbuka haya waliwahi kuyasema hata ktk miezi ya mwisho mwisho ya utawala wa JK kwamba anapanga kuongeza siku za kukaa madarakan, JK akawajibu kwamba hatozidisha hata dakika 1 ya kukaa madarakan kwa mujibu wa sheria. Sasa leo tena badala ya kuja na hoja zenye mashiko wao wanakuja na hoja za masikitiko.