Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Mwalimu Nyerere alishasema hakuna mtu mwingine atakayetawala zaidi ya miaka 10 kama yeye endapo ataheshimu katiba.Baba wa taifa Mheshimiwa JPM hana shida na CCM ili awepo miaka mingi ijayo,maana wananchi walio wengi wameona utendaji wake wa kazi hakuna ccm mwenye uwezo wa kufikia kiwango hicho.
Wananchi wamejiridhisha kuwa Mkuu aendelee ni suala la muda tu tutaingia barabarani kutaka aendelee uongozi wake umetoa nuru kwa future ya Tanzania,sasa hivi viongozi wote wa serikali wanakwenda na kasi ya mheshimiwa Raisi Magufuli.
bashiru hana ubavu mbele ya mwenyekiti wake wa CCM.
Acheni kumpa shinikizo Mkuu ili kufurahisha nafsi zenu.