Dkt. Bashiru: Tundu Lissu anaumwa 'Ugonjwa wa Deko'

Jambeni tu mwanawane huu mwarobaini mlioutengeneza mtaunywa wote uishe msiwe na wasiwasi

Sent using Sukhoi Su-57
 

Huyu naye Bashiru ni Dr.?!?! Mfyuu. Akili ndogo sana.
 
Bashiru anadhalilisha academia. Making himself look like another lucky fool!
 
Nadhani bashiru hajawi kuchomwa hata na msumari, acha ule wa kuchomwa na mtu bali ule wa kukanyaga kwa bahati mbaya.
 
Astaghfirullah! Bashiru wewe kweli muislamu? idadi yote ya risasi maumivu yote yale halafu leo useme mtu anadeka?
 
Basi kwa ugonjwa huu wa DEKO, lishauriwe bunge litoe fedha za kutosha za kumtibu haraka inavyowezekana!
 
Tatizo ni hili hapa.Halafu hawa wahutu wadhibitiwe sasa wanajiona nao ni raia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Lisu anaumwa ugonjwa wa Deka unaotokana na kudekadeka.

Source gazeti la Mtanzania

Maendeleo hayana vyama!
 
CCM haina uvumilivu wa kisiasa, haifai kungoza nchi. Suala la Lissu kuongea ulaya na marekani wamesababisha wenyewe.
Hakuna kauli watakazosema zitakazohalalisha ubaya waliomfanyia Lissu.
 

Sasa ugonjwa ni upi? Deko au Lissu?
Halafu mbona baadhi ya dalili hazipo kwenye maneno ya Dr Bashiru, mtoa mada umezipata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…