twahil
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 4,100
- 2,795
Basi kwakuwa na Dr. Vincent ni mtu wa kanda ya ziwa naye ni mrundi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dr feki Raia wa Rwanda tokea lini akajua malezi Tanzania?
Bavicha mnayo matatizo ya kimsingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kwakuwa na Dr. Vincent ni mtu wa kanda ya ziwa naye ni mrundi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dr feki Raia wa Rwanda tokea lini akajua malezi Tanzania?
Hahaha bavichaa wanakwambia chadema haina katibu mkuuBasi kwakuwa na Dr. Vincent ni mtu wa kanda ya ziwa naye ni mrundi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bavicha mnayo matatizo ya kimsingi
Hongera zako wewe unayejiuza hapo kimboka.View attachment 1019933
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe umedamshi na uzi wa kilumumba ukiuza bidhaa yako iliyolaaniwa. Hasara kwa wazazi wako walijua wamepata kidume kumbe kitafunwa.Huyu mmeo unampenda sana ,kila unapoenda upo nae ,mwambie akutie mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. Tatizo lako ni kwamba viatu vya mtangulizi wako Kinana vimekupwaya! Huna hoja acha porojo.Katibu mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akiwa ziarani Morogoro ametaja ugonjwa unaomsumbua Tundu Lisu kuwa ni deko .
Dalili za ugonjwa wa deko ni zarau ,majivuno ,kuota kuwa rais wa Tanzania ,kulialia, ushoga na kujikomba kwa wazungu.
Sababu ya ugonjwa wa deko ni malezi mabaya ya utotoni na inaonekana Lisu amelelewa kimayaimayai sana, ndiyo maana anadeka mpaka jitu zima la uzeeni.
------
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amesema Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), anaumwa ugonjwa wa deko huku akimuomba Rais Dk. John Magufuli aanze kutibu ugonjwa huo.
Kauli hiyo aliitoa juzi wilayani Kilosa mkoani Morogoro, katika ziara yake ya kazi ikiwa ni sehemu ya maadhimino ya miaka 42 ya kuzaliwa kwa CCM.
Dk. Bashiru alidai Lissu amekuwa akisema uongo katika nchi za Ulaya huku akiota siku moja atakuwa Rais wa Tanzania.
Wakati mtendaji huo wa juu wa CCM akiyasema hayo, Lissu amekuwa akiendelea na ziara yake katika nchi za Ulaya.
Kwa sasa yupo Marekani akieleza kile alichodai hali ya demokrasia nchini na kupigwa kwake risasi.
Dk. Bashiru alidai dalili za ugonjwa wa aina ya Tundu Lissu ni kusema uongo, dharau, deko, uonevu, kiburi, majivuno.
“Ila shukrani ya punda ni mateke. Namuomba Rais wetu (Dk. John Magufuli) aanze kutibu ugonjwa wa deko unasomesha watu wanazunguka kutukana nchi yao na Rais wao kisa ugonjwa wa deko.
“Yupo msomi mmoja anaitwa Tundu Lissu ameugua ugonjwa wa deko, anadeka hajui jembe kwa maisha yake, hajui mpunga unalimwaje wala samaki wanavuliwaje.
“Hajapanda bodaboda muda mrefu na watoto wake hawasomi shule hizi anazunguka dunia nzima kutuchafua.
“Tunao Tundu Lissu wengi Serikalini tumewaamini tumewapa dhamana ila ukiwatembelea ofisini wanadeka, mara nyingine hawapo, wanajipendelea wao,” alisema Dk. Bashiru na kuongeza:
“Ugonjwa huu unaambukizwa na tumeulea na wauguzi na madaktari wa ugonjwa huu ni Watanzania nyie wenyewe. Huu ugonjwa hatari, unaambukizwa ni hatari kuliko Ukimwi.
Anasema tumeweka Kifungu kwenye Katiba ya CCM cha kuzuia watu kugombea urais siyo kweli ni uongo”.
Dk. Bashiru alisema dalili za ugonjwa huo wa deko ni ubinafsi, kuota urais wa Tanzania kuwa na kiburi na kwenda Ulaya kuzungumza lugha za wakoloni lakini sasa anayemwita dikteta amefuta mashamba kwa ajili ya wanyonge.
“Nilipomskiliza nikasema ni muongo na kwa sababu anaumwa ugonjwa unaitwa Tundu Lissu, basi yupo kwenye hali mbaya.
“Ugonjwa wa Tundu Lissu ni hatari ila unaponyeka, amuache Rais (Dk. John Magufuli) atumikie wanyonge.
“Watendaji wote wa serikali ambao hawataki kupona ugonjwa huu watafute serikali nyingine, ajira ni hiyari waandike barua waseme chama hiki hakipendi dhurlma, mimi nadhulumu, hakipendi uongo mimi muongo, uachie madaraka,” alisema.
Kitafunwa kama yule jamaa anajiuza kwa wazungu sasa hivi,Mwenyewe umedamshi na uzi wa kilumumba ukiuza bidhaa yako iliyolaaniwa. Hasara kwa wazazi wako walijua wamepata kidume kumbe kitafunwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaccc.wanafunzi woteee wa bashiru eti huyu ndo alikua bingwa wa sayansi ya siasa katika chuo bora(kama watambavyo DAI wana UD).
yeye anaona ni sifa kuzunguka atakavyo huku washindani wake hawaruhusiwi.au kw a usomi wake afanyacho yeye na akina moja kichwani sio siasa?.
Shibe mwana malevya, njaa mwana malegeza. Mwenye shibe hamjui mwenye njaa. Mzigo wa mwenzio kanda la usufi.Katibu mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akiwa ziarani Morogoro ametaja ugonjwa unaomsumbua Tundu Lisu kuwa ni deko .
Dalili za ugonjwa wa deko ni zarau ,majivuno ,kuota kuwa rais wa Tanzania ,kulialia, ushoga na kujikomba kwa wazungu.
Sababu ya ugonjwa wa deko ni malezi mabaya ya utotoni na inaonekana Lisu amelelewa kimayaimayai sana, ndiyo maana anadeka mpaka jitu zima la uzeeni.
------
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amesema Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), anaumwa ugonjwa wa deko huku akimuomba Rais Dk. John Magufuli aanze kutibu ugonjwa huo.
Kauli hiyo aliitoa juzi wilayani Kilosa mkoani Morogoro, katika ziara yake ya kazi ikiwa ni sehemu ya maadhimino ya miaka 42 ya kuzaliwa kwa CCM.
Dk. Bashiru alidai Lissu amekuwa akisema uongo katika nchi za Ulaya huku akiota siku moja atakuwa Rais wa Tanzania.
Wakati mtendaji huo wa juu wa CCM akiyasema hayo, Lissu amekuwa akiendelea na ziara yake katika nchi za Ulaya.
Kwa sasa yupo Marekani akieleza kile alichodai hali ya demokrasia nchini na kupigwa kwake risasi.
Dk. Bashiru alidai dalili za ugonjwa wa aina ya Tundu Lissu ni kusema uongo, dharau, deko, uonevu, kiburi, majivuno.
“Ila shukrani ya punda ni mateke. Namuomba Rais wetu (Dk. John Magufuli) aanze kutibu ugonjwa wa deko unasomesha watu wanazunguka kutukana nchi yao na Rais wao kisa ugonjwa wa deko.
“Yupo msomi mmoja anaitwa Tundu Lissu ameugua ugonjwa wa deko, anadeka hajui jembe kwa maisha yake, hajui mpunga unalimwaje wala samaki wanavuliwaje.
“Hajapanda bodaboda muda mrefu na watoto wake hawasomi shule hizi anazunguka dunia nzima kutuchafua.
“Tunao Tundu Lissu wengi Serikalini tumewaamini tumewapa dhamana ila ukiwatembelea ofisini wanadeka, mara nyingine hawapo, wanajipendelea wao,” alisema Dk. Bashiru na kuongeza:
“Ugonjwa huu unaambukizwa na tumeulea na wauguzi na madaktari wa ugonjwa huu ni Watanzania nyie wenyewe. Huu ugonjwa hatari, unaambukizwa ni hatari kuliko Ukimwi.
Anasema tumeweka Kifungu kwenye Katiba ya CCM cha kuzuia watu kugombea urais siyo kweli ni uongo”.
Dk. Bashiru alisema dalili za ugonjwa huo wa deko ni ubinafsi, kuota urais wa Tanzania kuwa na kiburi na kwenda Ulaya kuzungumza lugha za wakoloni lakini sasa anayemwita dikteta amefuta mashamba kwa ajili ya wanyonge.
“Nilipomskiliza nikasema ni muongo na kwa sababu anaumwa ugonjwa unaitwa Tundu Lissu, basi yupo kwenye hali mbaya.
“Ugonjwa wa Tundu Lissu ni hatari ila unaponyeka, amuache Rais (Dk. John Magufuli) atumikie wanyonge.
“Watendaji wote wa serikali ambao hawataki kupona ugonjwa huu watafute serikali nyingine, ajira ni hiyari waandike barua waseme chama hiki hakipendi dhurlma, mimi nadhulumu, hakipendi uongo mimi muongo, uachie madaraka,” alisema.
Jamani si mikutano ya kisiasa ilipgwa marufuku? Inakuwaje Bashiru anaruhusiwa kutangatanga na mabo ya siasa? Halfu juzi wakati JPM anaongoea na viongozi wa dini alipoulizwa kuhusu kuruhusiwa mikutano ya kisiasa alijibu mikutano inayoruhusiwa tu ni ile ya wabunge wakiwa katika majimbo yao, kwa kuwa wakienda kwenye majimbo mengine wanatukana. Sasa hapa mbona naona Bashiru anamtukana Tundu Lissu?Hahhahahhhahhaaaaaaaaaaahhahhahhahhah Dkt.Bashiru kapatia kabisa.
Unawashwa wewe siyo bureJamani si mikutano ya kisiasa ilipgwa marufuku? Inakuwaje Bashiru anaruhusiwa kutangatanga na mabo ya siasa? Halfu juzi wakati JPM anaongoea na viongozi wa dini alipoulizwa kuhusu kuruhusiwa mikutano ya kisiasa alijibu mikutano inayoruhusiwa tu ni ile ya wabunge wakiwa katika majimbo yao, kwa kuwa wakienda kwenye majimbo mengine wanatukana. Sasa hapa mbona naona Bashiru anamtukana Tundu Lissu?