Dkt. Bashiru: Tundu Lissu anaumwa 'Ugonjwa wa Deko'

Katibu mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akiwa ziarani Morogoro ametaja ugonjwa unaomsumbua Tundu Lisu kuwa ni deko .
Dalili za ugonjwa wa deko ni zarau ,majivuno ,kuota kuwa rais wa Tanzania ,kulialia, ushoga na kujikomba kwa wazungu.

Sababu ya ugonjwa wa deko ni malezi mabaya ya utotoni na inaonekana Lisu amelelewa kimayaimayai sana, ndiyo maana anadeka mpaka jitu zima la uzeeni.
------

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amesema Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), anaumwa ugonjwa wa deko huku akimuomba Rais Dk. John Magufuli aanze kutibu ugonjwa huo.

Kauli hiyo aliitoa juzi wilayani Kilosa mkoani Morogoro, katika ziara yake ya kazi ikiwa ni sehemu ya maadhimino ya miaka 42 ya kuzaliwa kwa CCM.

Dk. Bashiru alidai Lissu amekuwa akisema uongo katika nchi za Ulaya huku akiota siku moja atakuwa Rais wa Tanzania.

Wakati mtendaji huo wa juu wa CCM akiyasema hayo, Lissu amekuwa akiendelea na ziara yake katika nchi za Ulaya.

Kwa sasa yupo Marekani akieleza kile alichodai hali ya demokrasia nchini na kupigwa kwake risasi.

Dk. Bashiru alidai dalili za ugonjwa wa aina ya Tundu Lissu ni kusema uongo, dharau, deko, uonevu, kiburi, majivuno.

“Ila shukrani ya punda ni mateke. Namuomba Rais wetu (Dk. John Magufuli) aanze kutibu ugonjwa wa deko unasomesha watu wanazunguka kutukana nchi yao na Rais wao kisa ugonjwa wa deko.

“Yupo msomi mmoja anaitwa Tundu Lissu ameugua ugonjwa wa deko, anadeka hajui jembe kwa maisha yake, hajui mpunga unalimwaje wala samaki wanavuliwaje.

“Hajapanda bodaboda muda mrefu na watoto wake hawasomi shule hizi anazunguka dunia nzima kutuchafua.

“Tunao Tundu Lissu wengi Serikalini tumewaamini tumewapa dhamana ila ukiwatembelea ofisini wanadeka, mara nyingine hawapo, wanajipendelea wao,” alisema Dk. Bashiru na kuongeza:

“Ugonjwa huu unaambukizwa na tumeulea na wauguzi na madaktari wa ugonjwa huu ni Watanzania nyie wenyewe. Huu ugonjwa hatari, unaambukizwa ni hatari kuliko Ukimwi.

Anasema tumeweka Kifungu kwenye Katiba ya CCM cha kuzuia watu kugombea urais siyo kweli ni uongo”.

Dk. Bashiru alisema dalili za ugonjwa huo wa deko ni ubinafsi, kuota urais wa Tanzania kuwa na kiburi na kwenda Ulaya kuzungumza lugha za wakoloni lakini sasa anayemwita dikteta amefuta mashamba kwa ajili ya wanyonge.

“Nilipomskiliza nikasema ni muongo na kwa sababu anaumwa ugonjwa unaitwa Tundu Lissu, basi yupo kwenye hali mbaya.

“Ugonjwa wa Tundu Lissu ni hatari ila unaponyeka, amuache Rais (Dk. John Magufuli) atumikie wanyonge.

“Watendaji wote wa serikali ambao hawataki kupona ugonjwa huu watafute serikali nyingine, ajira ni hiyari waandike barua waseme chama hiki hakipendi dhurlma, mimi nadhulumu, hakipendi uongo mimi muongo, uachie madaraka,” alisema.
PhD za Tz
 
Ulevi wa madarakacni mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani si mikutano ya kisiasa ilipgwa marufuku? Inakuwaje Bashiru anaruhusiwa kutangatanga na mabo ya siasa? Halfu juzi wakati JPM anaongoea na viongozi wa dini alipoulizwa kuhusu kuruhusiwa mikutano ya kisiasa alijibu mikutano inayoruhusiwa tu ni ile ya wabunge wakiwa katika majimbo yao, kwa kuwa wakienda kwenye majimbo mengine wanatukana. Sasa hapa mbona naona Bashiru anamtukana Tundu Lissu?
chama dola
 
TL ni mtu mwenye vision sio mtu mwenye television. Kama ni urais wanachagua wananchi sio yeye Bashiru
 
Bashiru huko nyuma hakuwa hivyo, kunamtu anamtia kichwa hata tembea yake imebadirika siyo bure.
 
Dokta feki a.k.a .mchumia tumbo a.k.a.msaka tonge ,dekoyaani maskini hajui hata lugha za kisiasa .
 
aliyetoa hotuba iyo ni dkt B kwel au imetolewa na mtoto fln wa chekechea? maana sitak kuamin kama mtu mwenye digrii zake 3 kichwan anaweza kuhutubia ujinga huo, ila kama ni kwel dkt B ndio kahutubia ivyo bas tzhatuna wasomi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katibu mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akiwa ziarani Morogoro ametaja ugonjwa unaomsumbua Tundu Lisu kuwa ni deko .
Dalili za ugonjwa wa deko ni zarau ,majivuno ,kuota kuwa rais wa Tanzania ,kulialia, ushoga na kujikomba kwa wazungu.

Sababu ya ugonjwa wa deko ni malezi mabaya ya utotoni na inaonekana Lisu amelelewa kimayaimayai sana, ndiyo maana anadeka mpaka jitu zima la uzeeni.
------

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amesema Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), anaumwa ugonjwa wa deko huku akimuomba Rais Dk. John Magufuli aanze kutibu ugonjwa huo.

Kauli hiyo aliitoa juzi wilayani Kilosa mkoani Morogoro, katika ziara yake ya kazi ikiwa ni sehemu ya maadhimino ya miaka 42 ya kuzaliwa kwa CCM.

Dk. Bashiru alidai Lissu amekuwa akisema uongo katika nchi za Ulaya huku akiota siku moja atakuwa Rais wa Tanzania.

Wakati mtendaji huo wa juu wa CCM akiyasema hayo, Lissu amekuwa akiendelea na ziara yake katika nchi za Ulaya.

Kwa sasa yupo Marekani akieleza kile alichodai hali ya demokrasia nchini na kupigwa kwake risasi.

Dk. Bashiru alidai dalili za ugonjwa wa aina ya Tundu Lissu ni kusema uongo, dharau, deko, uonevu, kiburi, majivuno.

“Ila shukrani ya punda ni mateke. Namuomba Rais wetu (Dk. John Magufuli) aanze kutibu ugonjwa wa deko unasomesha watu wanazunguka kutukana nchi yao na Rais wao kisa ugonjwa wa deko.

“Yupo msomi mmoja anaitwa Tundu Lissu ameugua ugonjwa wa deko, anadeka hajui jembe kwa maisha yake, hajui mpunga unalimwaje wala samaki wanavuliwaje.

“Hajapanda bodaboda muda mrefu na watoto wake hawasomi shule hizi anazunguka dunia nzima kutuchafua.

“Tunao Tundu Lissu wengi Serikalini tumewaamini tumewapa dhamana ila ukiwatembelea ofisini wanadeka, mara nyingine hawapo, wanajipendelea wao,” alisema Dk. Bashiru na kuongeza:

“Ugonjwa huu unaambukizwa na tumeulea na wauguzi na madaktari wa ugonjwa huu ni Watanzania nyie wenyewe. Huu ugonjwa hatari, unaambukizwa ni hatari kuliko Ukimwi.

Anasema tumeweka Kifungu kwenye Katiba ya CCM cha kuzuia watu kugombea urais siyo kweli ni uongo”.

Dk. Bashiru alisema dalili za ugonjwa huo wa deko ni ubinafsi, kuota urais wa Tanzania kuwa na kiburi na kwenda Ulaya kuzungumza lugha za wakoloni lakini sasa anayemwita dikteta amefuta mashamba kwa ajili ya wanyonge.

“Nilipomskiliza nikasema ni muongo na kwa sababu anaumwa ugonjwa unaitwa Tundu Lissu, basi yupo kwenye hali mbaya.

“Ugonjwa wa Tundu Lissu ni hatari ila unaponyeka, amuache Rais (Dk. John Magufuli) atumikie wanyonge.

“Watendaji wote wa serikali ambao hawataki kupona ugonjwa huu watafute serikali nyingine, ajira ni hiyari waandike barua waseme chama hiki hakipendi dhurlma, mimi nadhulumu, hakipendi uongo mimi muongo, uachie madaraka,” alisema.
hivi ccm imewafanya mini viongozi doctors mzima anashindwa hata kujenga hoja inayoeleweka anaishia kushambulia mtoa hoja. mimi nilifikili mambo ya kutukana watu badala ya kujibu hoja ni ya kina msukuma ambao waliishia daraa la tatu. lakini sasa hata madoctor na maprofessor wa ccm nao wamekuwa waimba taarabu. mbona kinana hakuwa hivyo alikuwa anajenga hoja hadi anakemea mawaziri wa serikali ya chama chake, na alikuwa anakubalika. sasa Leo hakuna hata mmoja ndani ya ccm anayeweza kuona kosa ndani ya serikali. kweli kunakitu magufuli anawafanya wanaccm maana sio kawaida kwa mtu msomi kushindwa kujibu hoja na kuishia kutukana mtowa hojo. Lissu anashtumu serikali kuhusika kwa shambulio lake tena anatowa hoja nyingi zenye uzito sasa kwanini doctors ally bashiru asijikite kuisaidia serikali kujibu baadhi ya hojo za Lissu ?
 
Alikua mp ..full stop.!hyo hali ww huwez ijua..ni sisi wanawake tunaijua..msamehe tu mkuu..
 
Bashiru Vx na mshahara wa milioni 32 umemtia wazimu limekuwa jinga huwezi a mini kama alikuwa anafundisha watoto
 
Write your reply...Ongeza mishahara kws watumishi
 
Back
Top Bottom