Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutuuuu , akitokea tu atapigwa spana mpk basiNatamani kusikia tena kauli za katoka kwa katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally baada kurejea kwa Tundu Lissu hapa nchini!
Dr Bashiru Ally kwa nyakati tofauti aliwahi kumkejeli Tundu Lissu kuwa, hakuwa anauguzaajeraha ya risasi bali alikuwa anaumwa ugonjwa wa deko!
Pamoja hilo Bashiru alisema kuna Watanzania wanaugua ugonjwa ugonjwa unaoitwa 'tundu lissu'!
Kwa kuwa katibu mkuu huyo wa CCM ndiyo pekee mwenye ujasiri wa kutamka hata jina la Tundu Lissu natamani kusikia hoja kinzani hasa baada siku mbili za makombora ya mgombea wa Urais kupitia Chadema!
Sina kumbukumbu ni lini na wapi Rais Magufuli mgombea wa CCM ama Polepole mwenezi wake walishawahi kutamka jina la Tundu Lissu pamoja na kuwa vitendo na kauli zao huonyesha kukerwa na hoja za mwasheria huyo nguli duniani!
Dr. Bashiru jitokeze mapema uokoe jahazi kabla kimbunga hakijaanza! Yawezekana kabisa ugonjwa wa deko ukatia mchanga kitumbua chako!
Mwanasheria nguli wa AcaciaNatamani kusikia tena kauli za katoka kwa katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally baada kurejea kwa Tundu Lissu hapa nchini
Dkt. Bashiru Ally kwa nyakati tofauti aliwahi kumkejeli Tundu Lissu kuwa, hakuwa anauguza majeraha ya risasi bali alikuwa anaumwa ugonjwa wa deko
Pamoja hilo Bashiru alisema kuna Watanzania wanaugua ugonjwa ugonjwa unaoitwa 'Tundu Lissu'. Kwa kuwa Katibu Mkuu huyo wa CCM ndiyo pekee mwenye ujasiri wa kutamka hata jina la Tundu Lissu natamani kusikia hoja kinzani hasa baada siku mbili za makombora ya mgombea wa Urais kupitia CHADEMA
Sina kumbukumbu ni lini na wapi Rais Magufuli mgombea wa CCM ama Polepole mwenezi wake walishawahi kutamka jina la Tundu Lissu pamoja na kuwa vitendo na kauli zao huonyesha kukerwa na hoja za mwasheria huyo nguli duniani
Dkt. Bashiru jitokeze mapema uokoe jahazi kabla kimbunga hakijaanza. Yawezekana kabisa ugonjwa wa deko ukatia mchanga kitumbua chako
Haumwi chochoteBashir yeye anaumwa nn kwa sasa?
Unauhakika?Haumwi chochote