Dkt. Bashiru: Tundu Lissu anaumwa 'Ugonjwa wa Deko'

alikukuwa sahihi sana....jamaa yetu huu ugonjwa anaumwa hadi leo... "eti anataka Mama amuhakikishie ulinzi"

Mama anapaswa kupiga kimya kabisa kama hajawahi kumsikia wala kumuona mpaka mwisho wa Urais wake.....tuone kama hatorudi.
 
Toka Magufuli afe, Bashiru amejitokeza lini hadharani kuongea mambo ya maana tukamsikia?
Ina maana baada ya Magufuli kufa, Bashiru naye kafa kisiasa?
 
Kakingiwa kifua na Bashiru? Vipi shule yake ya uongozi ndiyo basi tena?

Kulikoni Ndugai? Au hadi naye apewe ubalozi?
Lisu: wakati ninyi mnashangilia Ndugai kujiuzuru yeye anashangilia all the way kwenda kujichulia mshahara bank na marupurupu kibao kwa maisha yake yote

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Walijisahau sana!
Sasa hivi hawamaanini wanachokishuhudia.
 
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Lisu anaumwa ugonjwa wa Deka unaotokana na kudekadeka.

Source gazeti la Mtanzania

Maendeleo hayana vyama!
Hayana vyama[emoji16]
 
Make hapo kwanza ncheke.[emoji28][emoji28]

#MaendeleoHayanaChama
 
..Bashiru alijisahau sana.

..sasa akili zimemrudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…