Dkt. Bashiru, usomapo andiko hili mara moja hapo Msibani kwa Ndugai, chukua hatua mara moja za kulinda uhai wako

Hili kundi baya kweli kweli linataka urais kabla ya 2025 liwe lenyewe tu, pia team yenye misimamo ya kizalendo haitakiwi kabisa, watawaua wote na bado
 
Majitu mazima kuendekeza michezo ya kitoto mapumbavu kabisa hayo. Imagine mtu unatoa uhai wa mwingine ili ufanye michezo ya kitoto. Haya matendo ya laana yanamwisho wake.
 
Pesa na uhai bora nini? Ngojo niendelee kuwa mtazamaji
 
Duh balaa
 
kw
kwamba ni mtu wa system unampa michongo ya kuepuka kifo ? au sio
 
Mtu kajifia kwa maradhi yake msingizie watu. Achene uchuro. Au umesahau kuwa kaliingizia hasara taifa hili kwa kwenda kutibiwa nje maradhi yake???. Unadhani alikuwa anaenda kutibiwa malaria??
 
msituletee taharuki
Kifo n kifoo
hakuna atakaeishi milele
 
Mtu kajifia kwa maradhi yake msingizie watu. Achne uchuro. Au umesahau kuwa kaliingizia hasara taifa hili kwa kwenda kutibiwa nje maradhi yake???. Unadhani alikuwa anaenda kutibiwa malaria??
 
Mtu kajifia kwa maradhi yake msingizie watu. Achene uchuro. Au umesahau kuwa kaliingizia hasara taifa hili kwa kwenda kutibiwa nje maradhi yake???. Unadhani alikuwa anaenda kutibiwa malaria??
Twendeni na kaulimbiu ya Samia ya kifo ni kifo tu, au unasemaje mama wawili Lucas Mwashambwa ?
 
Hv mwanamke aliyekuzaa anafananaje? Ni zombie lisilojitambua.
 
JF watu wa maana wamepakimbia, huku yamekuja misukule yaani watu walishakufaga na akili zao zimekufa, kila kiongozi anauawa, halafu jamii iliyopo humu haipo uraiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…