Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: UVCCM jibuni hoja za wapinzani bila kuchelewa, ni marufuku waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kupiga kampeni

Dr Bashiru, sidhani kama unawajua vijana wako vyema! wengi wao macho yamewalegea kama wanakula kungu. Labda ujenge kikosi kipya lkn waliopo kushindana kwa hoja na vijana wa upinzani hawawezi hata kwa dawa.
 
Awaache UVCCM,hata yeye na mwenyekiti wake,pamoja na mwenza hawawezi kujibu hoja za wapinzani maana ni ukweli mtupu.Watu wametekwa,wameuliwa,wameshambuliwa,wamebambikiwa kesi,wamezuiwa kufanya siasa,uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliochakachuliwa nchi nzima,wagombea wameenguliwa na mipango ya kuiba kura inafanyika bila kificho.Vijana gani wanaweza kupangua hoja hizo?Wakitumia jukwaa gani kujibia?
Katibu anapoagiza vitu out of desperation,unajiuliza ni dalili ya...
 
Ni kweli kwa sababu wakiachwa waendelee kusema uongo bila kujiwa kwa usahihi wake wananchi wataamini propaganda zao
 
Nivigumu sana kuongea usicho amini ukaminiwa,sura huwa inakusuta
 
Si aseme Ruangwa!!
 
Dr Bashiru, sidhani kama unawajua vijana wako vyema! wengi wao macho yamewalegea kama wanakula kungu. Labda ujenge kikosi kipya lkn waliopo kushindana kwa hoja na vijana wa upinzani hawawezi hata kwa dawa.
Mfano mtu kama Bia Yetu😂
 
Kwahiyo yeye mwenyewe kujibu hawezi!
 
Malalamiko FC
Wale Mlikuwa Mnawaza Kuingia Barabarani Mshapata Majibu. Huko Kenya Walijaribu WALIKUFA na Kinyatta Aliendelea KUWA Rais. Unajua nyie vijana Wa mitandaoni mkiangalia Vi series Vya kina Scofield na Jacky Bour Mnajiona Mko Marekni. hahaha huku Africa Baranibarani unaningia Kichapo unapata Kilema unapata na hata Kufa na Hakuna uchobadilisha.
Na Kwa Tanzania serikari inajua Kabisa watakaoingia Barabarani in Wakora wahuni na wavuta Bangi, ika wenye akili Zetu tutakuwa home, Kwa hiyo wataangushiwa kichapo kitakatifu hawatasahau
 
Kwanini asijibu yeye kama anaona ni uongo? wenzie wameona ni ukweli ndio maana wameshindwa kujibu.
 
Kama hawazi kujibu awafanyeje?
 
Hao vijana wasubiri makombo watajibu nini? Wao huishi kwa kujipendekeza na kumsifu malaika mkuu ili mkono uende kinywani.
 
Vijana wa UVCCM ya leo hawana uwezo wa kujibu HOJA, UVCCM product ya kina Nchimbi hiyo ndiyo ilikuwa uvccm kweli ... hii ya sasa wewe waambie wakafanye fujo tu mikutano ya wapinzani.
 
moja ya mazezeta ya ccm
 
Dr. Bashiru na yeye anachemka. Ngoja siku akitimuliwa kama mbwa ndo ataijua CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…