Nikiri kwamba mm ni kada mtiifu wa chama cha mapinduzi na nampa support raisi wangu achaguliwe kipindi cha pili 2020 - 2025 ila nashangaa ukimya wa baadhi ya viongozi wa ccm mikoani na wilayani wanashindwa kujib hoja za wapinzani. Hatupaswi kumuachia Magufuli ajinadi peke yake na ajibu hoja peke yake viongozi wa mikoa wenye mamlaka ya kuongea kwenye chama wana wajibu wa kujibu hoja za wapinzani. Na naungana na Dr. Bashiru kuwakumbusha baadhi ya viongozi ccm kujib hoja za wapinzani.
sisi watanzania tuna kila sababu ya kumchagua magufuli kwa sababu amezuia mianya ya rushwa na kanunua ndege ambazo zinaleta watalii moja kwa moja tanzania.
Naomba niwasihi watanzania wenzangu kumchagua magufuli ili amalize kipind chake cha pili.
Ni mimi kada mtiifu