Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: UVCCM jibuni hoja za wapinzani bila kuchelewa, ni marufuku waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kupiga kampeni

Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: UVCCM jibuni hoja za wapinzani bila kuchelewa, ni marufuku waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kupiga kampeni

Nikiri kwamba mm ni kada mtiifu wa chama cha mapinduzi na nampa support raisi wangu achaguliwe kipindi cha pili 2020 - 2025 ila nashangaa ukimya wa baadhi ya viongozi wa ccm mikoani na wilayani wanashindwa kujib hoja za wapinzani. Hatupaswi kumuachia Magufuli ajinadi peke yake na ajibu hoja peke yake viongozi wa mikoa wenye mamlaka ya kuongea kwenye chama wana wajibu wa kujibu hoja za wapinzani. Na naungana na Dr. Bashiru kuwakumbusha baadhi ya viongozi ccm kujib hoja za wapinzani.

sisi watanzania tuna kila sababu ya kumchagua magufuli kwa sababu amezuia mianya ya rushwa na kanunua ndege ambazo zinaleta watalii moja kwa moja tanzania.
Naomba niwasihi watanzania wenzangu kumchagua magufuli ili amalize kipind chake cha pili.
Ni mimi kada mtiifu
 


Dr Bashiru amesema ni marufuku wagombea waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kufanya kampeni bali wabakie kwenye mikoa yao.

Dkt. Bashiru amemtaja mbunge mmoja aliyepitishwa bila kupingwa Lindi lakini sasa yuko Mwanza anafanya kampeni na kumtaka kurudi Lindi mara moja akawasaidie wenzie jimboni kwake.

Wakati huo huo Dkt. Bashiru amewataka vijana wa UVCCM kujibu hoja za wapinzani pale pale zinapotolewa bila kuchelewa kwani uongo usipojibiwa unaweza kuaminika.

Maendeleo hayana vyama!

CCM hovyo kabisa.
 
Kama mmeamua kumjibu mtu huyu mjibu kwa hoja vinginevyo atawaendesha kama gari bovu, kama mmeshindwa kumjibu kwa hoja kaeni kimya, elezeni sera zenu, mafanikio na matarajio yenu Watanzania wenye akili watawaelewa tu.

Lissu anawaingiza kwenye mtego mkimjibu pasipo hoja anatoa hoja nyingine mtakuwa mnacheza mziki wake. Hoja ambazo kajibiwa kipurure na CCM ni uwanja wa Chato, kutokulipa malimbikizo ya mshahara, kutokuongeza mshahara kama utawala uliopita, kupigwa risasi, waliopotea na kùtekwa, mengine sana ongeza na wewe.
 
Kama mmeamua kumjibu mtu huyu mjibu kwa hoja vinginevyo atawaendesha kama gari bovu,kama mmeshindwa kumjibu kwa hoja kaeni kimya,elezeni sera zenu,mafanikio na matarajio yenu watanzania wenye akili watawaelewa tu.Lissu anawaingiza kwenye mtego mkimjibu pasipo hojja anatoa hoja nyingine mtakuwa mnacheza mziki wake
Kwa hoja zipi alizo nazo, mpaka CCM imujibu huyo jamaa yenu??
 
Kama mmeamua kumjibu mtu huyu mjibu kwa hoja vinginevyo atawaendesha kama gari bovu,kama mmeshindwa kumjibu kwa hoja kaeni kimya,elezeni sera zenu,mafanikio na matarajio yenu watanzania wenye akili watawaelewa tu....
Aisee yaani huyu Lissu tunayemjua au Kuna Lissu mwingine? Huyu Lissu anaweza kujibiwa na mtoto au mwanafunzi wa Form Six kutoka Loyola...hoja zake ni za kipuuzi kabisa...
 
Utamu muhimu.. kule mbeleni.. kuanzia siku _ kabla.. eeeeh..

Magufuli 2020💯
 
Washamba na malimbukeni..... Alafu malimbukeni ya lumumba ndo yanapotosha na kumdanganya rais kua anakubalika wkt hakuna mtz anataka kumsikia
 
Back
Top Bottom