the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Ukitaka kuelewa alichoongea, anza process za kuunganisha umeme kwenye nyumba yako kwa kufuata procedure ya NIKONEKTI.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekerwa na utendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akitoa maagizo uongozi wa kituo cha miito ya simu (call centre) ufumuliwe.
Maagizo ya Dk Biteko kwa Tenesco ni kufuatia kutotekelezwa kwa maagizo yake ya aliyoyatoa mwaka jana ya kuwepo kwa namba ya mawasiliano ya wateja isiyolipiwa agizo ambalo halijatekelezwa.
Dk Biteko ameyatoa maagizo hayo leo Alhamisi Januari 9, 2025 baada ya kutembelea kituo cha miito ya simu Tanesco ambapo amesema watendaji wa shirika hilo wamezoea kazi.
View attachment 3196608
Sasa kama ni ya Makamba kaamua kufanya biashara kwanini huduma ni na hovyo kwa kiwango hicho, au ni cyndicate imejipanga kuidhoofisha Serikali na kuumiza raia?Call centre ni ya January makamb
Jiangalie biteko utapoteza uwaziri huo
Sasa mbona huduma mbovu? Huyo January awe serious bas.Call centre ni ya January makamb
Jiangalie biteko utapoteza uwaziri huo
Huna akili,ananufaikaje January?Call centre ni ya January makamb
Jiangalie biteko utapoteza uwaziri huo
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekerwa na utendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akitoa maagizo uongozi wa kituo cha miito ya simu (call centre) ufumuliwe.
Maagizo ya Dk Biteko kwa Tenesco ni kufuatia kutotekelezwa kwa maagizo yake ya aliyoyatoa mwaka jana ya kuwepo kwa namba ya mawasiliano ya wateja isiyolipiwa agizo ambalo halijatekelezwa.
Dk Biteko ameyatoa maagizo hayo leo Alhamisi Januari 9, 2025 baada ya kutembelea kituo cha miito ya simu Tanesco ambapo amesema watendaji wa shirika hilo wamezoea kazi.
Ipoo ya kulipia......+255748550000