Dkt. Biteko ataka Uongozi wa Call centre ya TANESCO ufumuliwe

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekerwa na utendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akitoa maagizo uongozi wa kituo cha miito ya simu (call centre) ufumuliwe.

Maagizo ya Dk Biteko kwa Tenesco ni kufuatia kutotekelezwa kwa maagizo yake ya aliyoyatoa mwaka jana ya kuwepo kwa namba ya mawasiliano ya wateja isiyolipiwa agizo ambalo halijatekelezwa.

Dk Biteko ameyatoa maagizo hayo leo Alhamisi Januari 9, 2025 baada ya kutembelea kituo cha miito ya simu Tanesco ambapo amesema watendaji wa shirika hilo wamezoea kazi.

Screenshot 2025-01-09 140147.png
 
View attachment 3196608
Ukitaka kuelewa alichoongea, anza process za kuunganisha umeme kwenye nyumba yako kwa kufuata procedure ya NIKONEKTI.
 
Call centre ni ya January makamb

Jiangalie biteko utapoteza uwaziri huo
 
Huwa nawaambua Tanesco makao makuu nikiwapigia kwamba "umeme sio kibatari unauzima na kuuwasha kama mtoto anacheza"

Kati ya wafanyakazi watapata tabu nikishika hatamu ni WA shirika la tanesco na mawaziri husika!

Lazima washtakiwe na kuwajibishwa Kwa uzembe wa kukata umeme coz wanahatarisha usalama wa Jamuhuri Kwa ujinga wao!!
 
Call centre ni ya January makamb

Jiangalie biteko utapoteza uwaziri huo
Sasa kama ni ya Makamba kaamua kufanya biashara kwanini huduma ni na hovyo kwa kiwango hicho, au ni cyndicate imejipanga kuidhoofisha Serikali na kuumiza raia?
 
Halafu cha kushangasha eti upo mkoani ukipiga simu inapokelewa makao makuu halfu wao ndio wakutolee taarifa mkoani kwako,, kwa nini kila mkoa usiwe na call centre yake hapohapo mkoani?
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekerwa na utendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akitoa maagizo uongozi wa kituo cha miito ya simu (call centre) ufumuliwe.

Maagizo ya Dk Biteko kwa Tenesco ni kufuatia kutotekelezwa kwa maagizo yake ya aliyoyatoa mwaka jana ya kuwepo kwa namba ya mawasiliano ya wateja isiyolipiwa agizo ambalo halijatekelezwa.

Dk Biteko ameyatoa maagizo hayo leo Alhamisi Januari 9, 2025 baada ya kutembelea kituo cha miito ya simu Tanesco ambapo amesema watendaji wa shirika hilo wamezoea kazi.

Ipoo ya kulipia......+255748550000
 
nilipiga hio no 28dec 2024 aisee sikupata majibu mpaka nikaenda wilayani kwangu zaidi ya mara tatu jana tarehe nane nikapiga tena mkoani ndio nipatolewa taarifa tena nikapata majibu mita mbovu...ina maana emegence wangekuja toka siku ya kwanza saa hizi au leo ningekuwa nd=shafungiwa mita...kuna mwengine anaambiwa mita ipo ila usafri ndio hakuna...aisee
 
Back
Top Bottom