Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
"Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na ninyi ni mashahidi amekuwa akiwaalika ili tuzungumze masuala mbalimbali ya kitaifa ingekuwa ni mtu anayejifungia ndani na akasema analo jeshi, sheria, katiba na vyombo vya ulinzi basi nitafanya kazi nadhani hivi ingekuwa ngumu sana lakini yeye amesema milango yetu iwe wazi tuzungumze na viongozi wa dini kwa ajili ya kutafuta mustakabali wa nchi yetu pale ambapo tunadhani hatuendi sawasawa,"
Dkt. Biteko amesema hayo Julai 3, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT).
Jina la Samia linatajwa na kuabudiwa mara 1000 ya jina la MUNGU, haya matapeli yamejificha kwenye kusifia yapate uteuzi na kuiba mali za umma.Kumekuwa na hii tabia ya kumsemea Samia. Nimesikia Makalla akimsemea Samia pia leo.
Kwani Samia mwenyewe hawezi kusema tukamsikia?
Kumekuwa na hii tabia ya kumsemea Samia. Nimesikia Makalla akimsemea Samia pia leo.
Kwani Samia mwenyewe hawezi kusema tukamsikia?
"Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na ninyi ni mashahidi amekuwa akiwaalika ili tuzungumze masuala mbalimbali ya kitaifa ingekuwa ni mtu anayejifungia ndani na akasema analo jeshi, sheria, katiba na vyombo vya ulinzi basi nitafanya kazi nadhani hivi ingekuwa ngumu sana lakini yeye amesema milango yetu iwe wazi tuzungumze na viongozi wa dini kwa ajili ya kutafuta mustakabali wa nchi yetu pale ambapo tunadhani hatuendi sawasawa,"
Dkt. Biteko amesema hayo Julai 3, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT).
Hawana uwezo wa kujibu hoja.Kumekuwa na hii tabia ya kumsemea Samia. Nimesikia Makalla akimsemea Samia pia leo.
Kwani Samia mwenyewe hawezi kusema tukamsikia?
Zaidi, kwa nini marais wa Tanzania ni nadra sana kufanya press conferwnce na waandishi wa habari, wakaulizwa maswali ya hapo kwa papo, wakajibu?
Sasa hivi nchi ipo katika tafrani nyingi zenye maswali mengi, kwa nini rais hajitokezi na kukaa na waandishi akajibu maswali?