Dkt. Biteko: Rais Samia anachukizwa Haki za Kidini zikipuuzwa

Kumekuwa na hii tabia ya kumsemea Samia. Nimesikia Makalla akimsemea Samia pia leo.

Kwani Samia mwenyewe hawezi kusema tukamsikia?

Zaidi, kwa nini marais wa Tanzania ni nadra sana kufanya press conference na waandishi wa habari, wakaulizwa maswali ya hapo kwa papo, wakajibu?

Sasa hivi nchi ipo katika tafrani nyingi zenye maswali mengi, kwa nini rais hajitokezi na kukaa na waandishi akajibu maswali?
We all know kila akitokea in publick anatoa boko, lazima kuwepo na watu wa kufunika hayo
 
Hawa jamaa wanachukulia mazuzu....hivi unawezaje sema hivi wakati kuna uonevu mkubwa wanaufanya kwa Wakristo...eg Gwajima...ishu ya Kitima....nonesence
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika ili kuzungumza masuala mbalimbali ya kitaifa.

"Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na ninyi ni mashahidi amekuwa akiwaalika ili tuzungumze masuala mbalimbali ya kitaifa ingekuwa ni mtu anayejifungia ndani na akasema analo jeshi, sheria, katiba na vyombo vya ulinzi basi nitafanya kazi nadhani hivi ingekuwa ngumu sana lakini yeye amesema milango yetu iwe wazi tuzungumze na viongozi wa dini kwa ajili ya kutafuta mustakabali wa nchi yetu pale ambapo tunadhani hatuendi sawasawa,"

Dkt. Biteko amesema hayo Julai 3, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT).
Wewe Biteko husikitishwi na wala huchukizwi na ukiukwaji wa haki za kidini ? Inakuwaje uwe msemaji wa mwanasiasa mwingine aliye kuteua? 😳
 
Mimi ni Rais mwenye jinsia ya kike
View attachment 3392820
Screenshot_20250615-124118~2.png
 
Jumapili polisi walifanya nini kwenye kanisa la ufunuo pale!

Au viongozi hawajui nini kinaendelea

Ova
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika ili kuzungumza masuala mbalimbali ya kitaifa.

"Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na ninyi ni mashahidi amekuwa akiwaalika ili tuzungumze masuala mbalimbali ya kitaifa ingekuwa ni mtu anayejifungia ndani na akasema analo jeshi, sheria, katiba na vyombo vya ulinzi basi nitafanya kazi nadhani hivi ingekuwa ngumu sana lakini yeye amesema milango yetu iwe wazi tuzungumze na viongozi wa dini kwa ajili ya kutafuta mustakabali wa nchi yetu pale ambapo tunadhani hatuendi sawasawa,"

Dkt. Biteko amesema hayo Julai 3, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT).
Huyu ni motiveshen spika
 
Ameambiwa kuhusu reforms na Viongozi wa Dini yeye kimya, Sana Sana tukasikia Kitime kashambuliwa, kaambiwa na gwajiboy shida ya watu kutekwa, kuuwawa n.k yeye kimya , Sana Sana , tukasikia Kanisa limefungiwa, kuna malalamiko mengi kuhusu Baadhi ya Polisi,kujitwalia utaratibu unasiofuata taratibu na kushusha hadhi ya igp , yaani kuna kuwa kana kwamba kuna majeshi mawili ya Polisi, yeye kimya, kuna tuhuma za Offisi ya dpp kutofanya kazi Kwa kuzingatia utawala Bora na kanuni za Haki yeye kimya , mpaka Mahakama hazitendi Haki yeye kimya, kuna Sheria ya usalama wa Taifa yenye kuruhusu au kutetea kuua bila kushtakiwa na ilitungwa chini ya uongozi wake dhumuni lake nini , lakini yeye kimya , kuna wageni toka nchi Jirani walifanyiwa vitendo vya aibu yeye kimya. Sasa hivi ziara Zote za nje tunaona VP ndio anaenda , sasa hatujui sababu nini , yeye kimya, na hatujui akiendelea kuongoza 2025-2030, mahusiano yetu yalio athiriwa na haya mapungufu yalioyo tokea hapo juu itakuwaje. Na kuna Fidia ambazo tutalipa Kwa madhila waliofanyiwa hawa watu WA nchi Jirani, sasa sijui tutauza nchi kulipia, au tutachangishwa, au tutakatwa juu Kwa juu bila kujua, yeye kimya. Na Biteko Kimya na Paskali Naye yupo Kimya, "Ayubu" WA kwenye vitabu vitakatifu Naye yupo Kimya.
 
Kumekuwa na hii tabia ya kumsemea Samia. Nimesikia Makalla akimsemea Samia pia leo.

Kwani Samia mwenyewe hawezi kusema tukamsikia?

Zaidi, kwa nini marais wa Tanzania ni nadra sana kufanya press conference na waandishi wa habari, wakaulizwa maswali ya hapo kwa papo, wakajibu?

Sasa hivi nchi ipo katika tafrani nyingi zenye maswali mengi, kwa nini rais hajitokezi na kukaa na waandishi akajibu maswali?
Waandishi gani hao? Wa media za ndani ambao wanashindana kutwa kusifia ili walambe teuzi? Ukitaka kujua Bongo hatuna media, angalia tukio kubwa linalohusu upinzani positively, halipewi air time. Ila wakisikia Chadema inakufa, hizo ndizo habari zao na kwa CCM na serikali yake, wanandika yale ya kuwasifia tuu.
 
Hujaelewa hoja.

Rais anatakiwa afanye press conference. Halafu ndiyo tuone waandishi hawana uwezo.

Kuna waandishi wa ndano na nje wakishindwa wa ndani wa nje watasaidia.

Wewe unaunga mkono rais kutofanya press conference?
 
Press wanafanya akina Trump wasio na yakufanya. Huku Zaire, rais hana muda huo.
 
Nina wasi wasi viongozi wa nchi hii hata tiivii hawaangalii.
Wakati juzi muumini mmoja mkristo amepigwa na polisi wa serikali na mamia kunyimwa haki ya kuabudu lakini pia wengine hamsini wakikamatwa na polisi, hii nayo hata wapambe wao hawakuona?
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika ili kuzungumza masuala mbalimbali ya kitaifa.

"Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na ninyi ni mashahidi amekuwa akiwaalika ili tuzungumze masuala mbalimbali ya kitaifa ingekuwa ni mtu anayejifungia ndani na akasema analo jeshi, sheria, katiba na vyombo vya ulinzi basi nitafanya kazi nadhani hivi ingekuwa ngumu sana lakini yeye amesema milango yetu iwe wazi tuzungumze na viongozi wa dini kwa ajili ya kutafuta mustakabali wa nchi yetu pale ambapo tunadhani hatuendi sawasawa,"

Dkt. Biteko amesema hayo Julai 3, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT).
Kukosa AKILI ni kitu kibaya sana,SAMIA huyu huyu tunaemjua au SAMIA mwingine mm hapo sijaelewa kabisa,kwamba mambo mengine Samia anafanya mipasho kwa nguvu zote haya hayasemi eti wengine kazi yao kumlisha maneno Samia,ujinga kabisa.
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika ili kuzungumza masuala mbalimbali ya kitaifa.

"Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na ninyi ni mashahidi amekuwa akiwaalika ili tuzungumze masuala mbalimbali ya kitaifa ingekuwa ni mtu anayejifungia ndani na akasema analo jeshi, sheria, katiba na vyombo vya ulinzi basi nitafanya kazi nadhani hivi ingekuwa ngumu sana lakini yeye amesema milango yetu iwe wazi tuzungumze na viongozi wa dini kwa ajili ya kutafuta mustakabali wa nchi yetu pale ambapo tunadhani hatuendi sawasawa,"

Dkt. Biteko amesema hayo Julai 3, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT).
Kwenye harakati za Biteko kuutafuta uwaziri mkuu ameanza kuwa pumbafu na chawa pro max
 
Kumekuwa na hii tabia ya kumsemea Samia. Nimesikia Makalla akimsemea Samia pia leo.

Kwani Samia mwenyewe hawezi kusema tukamsikia?

Zaidi, kwa nini marais wa Tanzania ni nadra sana kufanya press conference na waandishi wa habari, wakaulizwa maswali ya hapo kwa papo, wakajibu?

Sasa hivi nchi ipo katika tafrani nyingi zenye maswali mengi, kwa nini rais hajitokezi na kukaa na waandishi akajibu maswali?
Huyu dogo simuelewagu kabisa! Yaani hana Charisma kabisa....hata akiongea ni kama Mzee wa Kanisa anahamisidha mavuno!
 
Back
Top Bottom