Dkt. Biteko: Rais Samia anachukizwa Haki za Kidini zikipuuzwa

Angeweza kufanya hivo, lakini anatunza heshima ya nchi; ki-vipi?.... Hatuna waandishi wanaouliza maswali yanayohusu utatuzi wa mambo yanayolikwamisha kitaifa.
 
Angeweza kufanya hivo, lakini anatunza heshima ya nchi; ki-vipi?.... Hatuna waandishi wanaouliza maswali yanayohusu utatuzi wa mambo yanayolikwamisha kitaifa.
Hatuna waandishi wanaouliza maswali yanayohusu utatuzi wa mambo yanayolikwamisha taifa au waandishi hawaruhusiwi kuuliza?

Pia, kuficha ujinga si kutunza heshima ya nchi. Mficha maradhi kifo humfichua.

Leo hii magazeti ya dunia yamejaa habari kuhusu utekaji, uuaji, ubakaji, ufiraji, chaguzi zisizo huru wala haki, kuhusiana na Tanzania na uongozi wa Samia.

Sasa hapo Samia anatunza vipi heshima ya nchi?
 
Nchi iko kwenye autopilot

Ova
 
Wajumbe wa Hiyo inayoitwa tume huru wanachaguliwa na kuteuliwa na nani????
 
Asipotoshe, Samia amedhihirisha kuwa ni adui wa ukristu
 

Hata aliposhambuliwa padre Charles Kitima nafikiri alitumwa huyu huyu kuahidi kwamba hatua zitachukuliwa lakini mpaka leo hakuna chochote....uongo mtupu.
 
Alafu Dotto angejua namuheshimu sana, Bora asiongelee Hilo swala...afanye amelisahau tu, kama hawezi kusaidia kutetea watu waabudu Imani wanaziziamini basi angeacha tu....watu washikiwe bunduki wazuiliwe kuabudu yeye yupo tu
 
halafu mtu anasema kuwa eti huyu ni mtu anafaa kuwa PM!
 
Gwajima alikuwepo?
 
πŸ€” Samia huyu huyu au tutarajie mwingine. Ila kweli Kwa yale alowafanyia Kanisa la Glory of Christ la Gwajima ninayakubali hayo yaliyosemwa na Biteko kinyume nyume.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20250703-200533.jpg
    470.3 KB · Views: 16
Bite
Biteko nakuheshimu sana, una jiharibia kwa kudanganya, ni heshima gani serikali ina toa ya kuabudu huku mapolisi wakipiga watu wanao abudu mabomu. Chunga kauli zako, hasira za Mungu zisije shuka kwako na kizazi chako
 
Lazima amsifie maana ndiye aliyempa cheo ambacho hakipo hata kwenye katiba, huku akiwa siyo raia.
 
Chura Hana majibu
 
CCM acheni unafiki, hao waumini wa Gwajima anaowapiga kila jumapili wana kosa gani?

Mmeshapoteza uaminifu wa majority ya wanananchi wa Tanzania - mmeshakwishaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…