Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
We all know kila akitokea in publick anatoa boko, lazima kuwepo na watu wa kufunika hayoKumekuwa na hii tabia ya kumsemea Samia. Nimesikia Makalla akimsemea Samia pia leo.
Kwani Samia mwenyewe hawezi kusema tukamsikia?
Zaidi, kwa nini marais wa Tanzania ni nadra sana kufanya press conference na waandishi wa habari, wakaulizwa maswali ya hapo kwa papo, wakajibu?
Sasa hivi nchi ipo katika tafrani nyingi zenye maswali mengi, kwa nini rais hajitokezi na kukaa na waandishi akajibu maswali?
Wewe Biteko husikitishwi na wala huchukizwi na ukiukwaji wa haki za kidini ? Inakuwaje uwe msemaji wa mwanasiasa mwingine aliye kuteua? 😳Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika ili kuzungumza masuala mbalimbali ya kitaifa.
"Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na ninyi ni mashahidi amekuwa akiwaalika ili tuzungumze masuala mbalimbali ya kitaifa ingekuwa ni mtu anayejifungia ndani na akasema analo jeshi, sheria, katiba na vyombo vya ulinzi basi nitafanya kazi nadhani hivi ingekuwa ngumu sana lakini yeye amesema milango yetu iwe wazi tuzungumze na viongozi wa dini kwa ajili ya kutafuta mustakabali wa nchi yetu pale ambapo tunadhani hatuendi sawasawa,"
Dkt. Biteko amesema hayo Julai 3, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT).
Mimi ni Rais mwenye jinsia ya kike
View attachment 3392820
Kwa pozi hii, huyu bwana anaweza kupata alama gani kwenye IQ test scores scale? 🤔
Huyu ni motiveshen spikaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika ili kuzungumza masuala mbalimbali ya kitaifa.
"Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na ninyi ni mashahidi amekuwa akiwaalika ili tuzungumze masuala mbalimbali ya kitaifa ingekuwa ni mtu anayejifungia ndani na akasema analo jeshi, sheria, katiba na vyombo vya ulinzi basi nitafanya kazi nadhani hivi ingekuwa ngumu sana lakini yeye amesema milango yetu iwe wazi tuzungumze na viongozi wa dini kwa ajili ya kutafuta mustakabali wa nchi yetu pale ambapo tunadhani hatuendi sawasawa,"
Dkt. Biteko amesema hayo Julai 3, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT).
Chenga sana huyo jamaa.Ni Chawa flani pro max.Biteko nae
Ameambiwa kuhusu reforms na Viongozi wa Dini yeye kimya, Sana Sana tukasikia Kitime kashambuliwa, kaambiwa na gwajiboy shida ya watu kutekwa, kuuwawa n.k yeye kimya , Sana Sana , tukasikia Kanisa limefungiwa, kuna malalamiko mengi kuhusu Baadhi ya Polisi,kujitwalia utaratibu unasiofuata taratibu na kushusha hadhi ya igp , yaani kuna kuwa kana kwamba kuna majeshi mawili ya Polisi, yeye kimya, kuna tuhuma za Offisi ya dpp kutofanya kazi Kwa kuzingatia utawala Bora na kanuni za Haki yeye kimya , mpaka Mahakama hazitendi Haki yeye kimya, kuna Sheria ya usalama wa Taifa yenye kuruhusu au kutetea kuua bila kushtakiwa na ilitungwa chini ya uongozi wake dhumuni lake nini , lakini yeye kimya , kuna wageni toka nchi Jirani walifanyiwa vitendo vya aibu yeye kimya. Sasa hivi ziara Zote za nje tunaona VP ndio anaenda , sasa hatujui sababu nini , yeye kimya, na hatujui akiendelea kuongoza 2025-2030, mahusiano yetu yalio athiriwa na haya mapungufu yalioyo tokea hapo juu itakuwaje. Na kuna Fidia ambazo tutalipa Kwa madhila waliofanyiwa hawa watu WA nchi Jirani, sasa sijui tutauza nchi kulipia, au tutachangishwa, au tutakatwa juu Kwa juu bila kujua, yeye kimya. Na Biteko Kimya na Paskali Naye yupo Kimya, "Ayubu" WA kwenye vitabu vitakatifu Naye yupo Kimya.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika ili kuzungumza masuala mbalimbali ya kitaifa.
"Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na ninyi ni mashahidi amekuwa akiwaalika ili tuzungumze masuala mbalimbali ya kitaifa ingekuwa ni mtu anayejifungia ndani na akasema analo jeshi, sheria, katiba na vyombo vya ulinzi basi nitafanya kazi nadhani hivi ingekuwa ngumu sana lakini yeye amesema milango yetu iwe wazi tuzungumze na viongozi wa dini kwa ajili ya kutafuta mustakabali wa nchi yetu pale ambapo tunadhani hatuendi sawasawa,"
Dkt. Biteko amesema hayo Julai 3, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT).
Waandishi gani hao? Wa media za ndani ambao wanashindana kutwa kusifia ili walambe teuzi? Ukitaka kujua Bongo hatuna media, angalia tukio kubwa linalohusu upinzani positively, halipewi air time. Ila wakisikia Chadema inakufa, hizo ndizo habari zao na kwa CCM na serikali yake, wanandika yale ya kuwasifia tuu.Kumekuwa na hii tabia ya kumsemea Samia. Nimesikia Makalla akimsemea Samia pia leo.
Kwani Samia mwenyewe hawezi kusema tukamsikia?
Zaidi, kwa nini marais wa Tanzania ni nadra sana kufanya press conference na waandishi wa habari, wakaulizwa maswali ya hapo kwa papo, wakajibu?
Sasa hivi nchi ipo katika tafrani nyingi zenye maswali mengi, kwa nini rais hajitokezi na kukaa na waandishi akajibu maswali?
Hujaelewa hoja.Waandishi gani hao? Wa media za ndani ambao wanashindana kutwa kusifia ili walambe teuzi? Ukitaka kujua Bongo hatuna media, angalia tukio kubwa linalohusu upinzani positively, halipewi air time. Ila wakisikia Chadema inakufa, hizo ndizo habari zao na kwa CCM na serikali yake, wanandika yale ya kuwasifia tuu.
Press wanafanya akina Trump wasio na yakufanya. Huku Zaire, rais hana muda huo.Hujaelewa hoja.
Rais anatakiwa afanye press conference. Halafu ndiyo tuone waandishi hawana uwezo.
Kuna waandishi wa ndano na nje wakishindwa wa ndani wa nje watasaidia.
Wewe unaunga mkono rais kutofanya press conference?
Hujajibi swali nililokuuliza na kama kuna swali umejibu, si nililokuuliza mimi.Press wanafanya akina Trump wasio na yakufanya. Huku Zaire, rais hana muda huo.
Kukosa AKILI ni kitu kibaya sana,SAMIA huyu huyu tunaemjua au SAMIA mwingine mm hapo sijaelewa kabisa,kwamba mambo mengine Samia anafanya mipasho kwa nguvu zote haya hayasemi eti wengine kazi yao kumlisha maneno Samia,ujinga kabisa.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika ili kuzungumza masuala mbalimbali ya kitaifa.
"Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na ninyi ni mashahidi amekuwa akiwaalika ili tuzungumze masuala mbalimbali ya kitaifa ingekuwa ni mtu anayejifungia ndani na akasema analo jeshi, sheria, katiba na vyombo vya ulinzi basi nitafanya kazi nadhani hivi ingekuwa ngumu sana lakini yeye amesema milango yetu iwe wazi tuzungumze na viongozi wa dini kwa ajili ya kutafuta mustakabali wa nchi yetu pale ambapo tunadhani hatuendi sawasawa,"
Dkt. Biteko amesema hayo Julai 3, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT).
Kwenye harakati za Biteko kuutafuta uwaziri mkuu ameanza kuwa pumbafu na chawa pro maxNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa na anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na akiwaalika ili kuzungumza masuala mbalimbali ya kitaifa.
"Mheshimiwa Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini na ninyi ni mashahidi amekuwa akiwaalika ili tuzungumze masuala mbalimbali ya kitaifa ingekuwa ni mtu anayejifungia ndani na akasema analo jeshi, sheria, katiba na vyombo vya ulinzi basi nitafanya kazi nadhani hivi ingekuwa ngumu sana lakini yeye amesema milango yetu iwe wazi tuzungumze na viongozi wa dini kwa ajili ya kutafuta mustakabali wa nchi yetu pale ambapo tunadhani hatuendi sawasawa,"
Dkt. Biteko amesema hayo Julai 3, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT).
Huyu dogo simuelewagu kabisa! Yaani hana Charisma kabisa....hata akiongea ni kama Mzee wa Kanisa anahamisidha mavuno!Kumekuwa na hii tabia ya kumsemea Samia. Nimesikia Makalla akimsemea Samia pia leo.