Ona ulaghai kama huu; sijui kama ni kweli Samia kayasema haya maneno, au hawa wanaotumika kama vikaratasi vya chooni wanayatunga wenyewe!Rais Samia Suluhu Hassan anasikitishwa anapoona haki za kidini zinapuuzwa
Kwa hiyo mpango ndio huo, wa kuwaalika wazungumze ili wasalimishe jahazi linalozama?na akiwaalika ili kuzungumza masuala mbalimbali ya kitaifa.
Bora hata angekuwa hana charisma halafu anaongea point.Huyu dogo simuelewagu kabisa! Yaani hana Charisma kabisa....hata akiongea ni kama Mzee wa Kanisa anahamisidha mavuno!
SAWA Kabisa. NO REFORM, NO ELECTION. Hakuna lugha nyingine zaidi ya hiyo.
Yeye Samia akiwa anahutubia anaongea utumbo mtupu lakini chawa wake wanamsemea vinginevgoKumekuwa na hii tabia ya kumsemea Samia. Nimesikia Makalla akimsemea Samia pia leo.
Kwani Samia mwenyewe hawezi kusema tukamsikia?
Zaidi, kwa nini marais wa Tanzania ni nadra sana kufanya press conference na waandishi wa habari, wakaulizwa maswali ya hapo kwa papo, wakajibu?
Sasa hivi nchi ipo katika tafrani nyingi zenye maswali mengi, kwa nini rais hajitokezi na kukaa na waandishi akajibu maswali?
Haya mambo ya kipuuzi puuzi yameanza kukuzwa miaka ya hivi karibuni wanasiasa walipoanza kujipendekeza kwa viongozi wa dini.Kwanini wanasiasa hupewa airtime kwenye majukwaa ya kidini kwenda kuzungumza unafiq?
Wanasiasa kama ni kuzungumza masuala ya dini ingefaa wazungumze na watu wa dini zao tena yanayohusiana na dini zao Mkristo azungumze na Wakristo wenzake Muislam azungumze na Waislam wenzake tena asizungumze siasa atoe nasaha za kidini tu.
Hawa marobot wake wanampamba kwa lugha, mtu ambaye matendo yake ni tofauti kabisa na anavyouzwa kwa wananchi. Sijui wao wanafikiri wananchi hawana akili ya kuona matendo maovu?Asipotoshe, Samia amedhihirisha kuwa ni adui wa ukristu
Ndiyo kazi ya chawa hiyo. Ule uharo wote wa Samia wanajifanya kama hawaujui.Yeye Samia akiwa anahutubia anaongea utumbo mtupu lakini chawa wake wanamsemea vinginevgo
Leaf knot au timber hitch?
Hiyo picha alikuwa akicheza taarabu au alikuwa akihutubia
Kwa kweli hizo ni kamba za kudu.