nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
pendekeza ambaye si mchaga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka kuishusha inflation inategemea na factors nyingi sana ikiwemo hiyo ya riba, hata kama supply ingekuwa kubwa, kama wangeshusha riba , inflation ingekuwa inaongezeka maana money supply imekuwa kubwa. Hii ni Contractionary Monetary policy .Bei ya unga haikushuka kwa sababu BOT iliongeza riba. Bali ilishuka kwa sababu ya mavuno makubwa ya mahindi na zuio la serikali kwa wafanya biashara kuuza mahindi nje.
Kama hujui kitu kaa kimya.
KWANI WAZIRI ALIYOPO HAIKOSI ANATAKA KUGOMBEA URAIS?Ndugu yetu Mwigulu anajifunza kazini na hii wizara inahitaji mtu ambaye anaweza na kujua jinsi ya kutatua matatizo na sio kila siku kubishana na wanasiasa. Matatizo makubwa ni haya ambayo Dr Kimei ndiye anaweza kurekebisha kwa haraka
1. Tatizo la dollar
2. Tatizo la riba kuwa juu
3. Kuanzisha credit rating system Tanzania
4. Nchi yetu kupata bond za uchumi kama kujenga barabara au reli badala ya kuchukuwa mikopo.
Yote haya Kimei atafanya vizient kuliko hawa wanasiasa kama Mwigulu ambao hawana uzoefu wa kutosha. Tuache kuogopa watu ambao ni bosses
View attachment 2743468
Unajua mkuu japo Ni mshabiki wa koloTatizo la Dollar ni universal, acha porojo na itadumu mpaka mwezi wa kumi na mbili ama mpaka mwakani hivi kwasababu FED wameamua kutackle tatizo la mfumuko wa bei nchini Marekani ambapo imeonyesha kuwa na data nzuri za labour market (although ni tight labor market ila inaridhisha). Na wameshasema hawa-cut interest rates mwaka huu.
Kuhusu riba kubwa, Kuna muda mlianza lalamika kuwa bei ya unga Iko juu, B.O.T ikastep in kuongeza riba kushusha inflation although Serikali iliendelea na expansionary fiscal policy ila matokeo umeyaona.
Bora ungemtaja profesa simboja mchumi mbobezi yani huyo mtu mlafi hivyo ndo unataka apewe bucha kweli au wachaga mnatutaka nini? Mramba hakuwatosha na lami hadi vijijini?Ndugu yetu Mwigulu anajifunza kazini na hii wizara inahitaji mtu ambaye anaweza na kujua jinsi ya kutatua matatizo na sio kila siku kubishana na wanasiasa. Matatizo makubwa ni haya ambayo Dr Kimei ndiye anaweza kurekebisha kwa haraka
1. Tatizo la dollar
2. Tatizo la riba kuwa juu
3. Kuanzisha credit rating system Tanzania
4. Nchi yetu kupata bond za uchumi kama kujenga barabara au reli badala ya kuchukuwa mikopo.
Yote haya Kimei atafanya vizient kuliko hawa wanasiasa kama Mwigulu ambao hawana uzoefu wa kutosha. Tuache kuogopa watu ambao ni bosses
View attachment 2743468
Huyu mpuuzi hataweza kufanya kitu. Ataharibu zaidi.Ndugu yetu Mwigulu anajifunza kazini na hii wizara inahitaji mtu ambaye anaweza na kujua jinsi ya kutatua matatizo na sio kila siku kubishana na wanasiasa. Matatizo makubwa ni haya ambayo Dr Kimei ndiye anaweza kurekebisha kwa haraka
1. Tatizo la dollar
2. Tatizo la riba kuwa juu
3. Kuanzisha credit rating system Tanzania
4. Nchi yetu kupata bond za uchumi kama kujenga barabara au reli badala ya kuchukuwa mikopo.
Yote haya Kimei atafanya vizient kuliko hawa wanasiasa kama Mwigulu ambao hawana uzoefu wa kutosha. Tuache kuogopa watu ambao ni bosses
View attachment 2743468
Mama kasema hawezi kufanya KAZI na waluomzidi umriNdugu yetu Mwigulu anajifunza kazini na hii wizara inahitaji mtu ambaye anaweza na kujua jinsi ya kutatua matatizo na sio kila siku kubishana na wanasiasa. Matatizo makubwa ni haya ambayo Dr Kimei ndiye anaweza kurekebisha kwa haraka
1. Tatizo la dollar
2. Tatizo la riba kuwa juu
3. Kuanzisha credit rating system Tanzania
4. Nchi yetu kupata bond za uchumi kama kujenga barabara au reli badala ya kuchukuwa mikopo.
Yote haya Kimei atafanya vizient kuliko hawa wanasiasa kama Mwigulu ambao hawana uzoefu wa kutosha. Tuache kuogopa watu ambao ni bosses
View attachment 2743468
Prof Assad mdini sana, Kimei mkqbila sana. Hapo bado mwigulu ni mtu sahihi sana.Prof Assad ndo anafaa ila mdini mnoo
Tatizo sio mwigulu bali tatizo ni ccm kama unataka kuona mabadiliko nchini ikatae ccm sio Mwingulu unapoteza muda wako.Ndugu yetu Mwigulu anajifunza kazini na hii wizara inahitaji mtu ambaye anaweza na kujua jinsi ya kutatua matatizo na sio kila siku kubishana na wanasiasa. Matatizo makubwa ni haya ambayo Dr Kimei ndiye anaweza kurekebisha kwa haraka
1. Tatizo la dollar
2. Tatizo la riba kuwa juu
3. Kuanzisha credit rating system Tanzania
4. Nchi yetu kupata bond za uchumi kama kujenga barabara au reli badala ya kuchukuwa mikopo.
Yote haya Kimei atafanya vizient kuliko hawa wanasiasa kama Mwigulu ambao hawana uzoefu wa kutosha. Tuache kuogopa watu ambao ni bosses
View attachment 2743468
1. Tatizo la dola liko nje ya uwezo wetu watanzania. Nampa pekee ni tuuze sana nje kuliko kuagiza vinginevyo hakuna namna. Njia pekee iliyopo ya haraka ni kukopa mikopo nafuu ya muda mrefu tupate dollar kupunguza upungufu uliopo. Niliona juzi mitandaoni wizara ya fedha imekutana na WB kuomba msaada.Ndugu yetu Mwigulu anajifunza kazini na hii wizara inahitaji mtu ambaye anaweza na kujua jinsi ya kutatua matatizo na sio kila siku kubishana na wanasiasa. Matatizo makubwa ni haya ambayo Dr Kimei ndiye anaweza kurekebisha kwa haraka
1. Tatizo la dollar
2. Tatizo la riba kuwa juu
3. Kuanzisha credit rating system Tanzania
4. Nchi yetu kupata bond za uchumi kama kujenga barabara au reli badala ya kuchukuwa mikopo.
Yote haya Kimei atafanya vizient kuliko hawa wanasiasa kama Mwigulu ambao hawana uzoefu wa kutosha. Tuache kuogopa watu ambao ni bosses
View attachment 2743468
Alitaka ugavana kwa nguvu sana watu wa vetting wakamtonya mteuzi aachane nae huyu kuna faili lake chafu la upigaji.Hapa akina mangi wanataka wakajazane pale BOT.
Hebu type uzoefu wa mwigulu tulinganishe,cv ya kimei inambeba hakuna ubishi,maendeleo ya CRDB kipindi chake hayana ubishi,sifa ambavyo Hana sio mwanasiasa Kama mwigulu hiyo ndio tofauti,tunataka mtuonyeshe mafanikio ya mwigulu toka awe waziri wa fedha!Kuendesha benki uchwara kama crdb na kuwa waziri wa fedha ni vitu viwili tofauti.
Kuna asijifunza kazini? Kwa taaNdugu yetu Mwigulu anajifunza kazini na hii wizara inahitaji mtu ambaye anaweza na kujua jinsi ya kutatua matatizo na sio kila siku kubishana na wanasiasa. Matatizo makubwa ni haya ambayo Dr Kimei ndiye anaweza kurekebisha kwa haraka
1. Tatizo la dollar
2. Tatizo la riba kuwa juu
3. Kuanzisha credit rating system Tanzania
4. Nchi yetu kupata bond za uchumi kama kujenga barabara au reli badala ya kuchukuwa mikopo.
Yote haya Kimei atafanya vizient kuliko hawa wanasiasa kama Mwigulu ambao hawana uzoefu wa kutosha. Tuache kuogopa watu ambao ni bosses
View attachment 2743468
Kuna asiyejifnza kazini? Kwa taarifa hakuna chuo cha uwaziri au urais dunianiNdugu yetu Mwigulu anajifunza kazini na hii wizara inahitaji mtu ambaye anaweza na kujua jinsi ya kutatua matatizo na sio kila siku kubishana na wanasiasa. Matatizo makubwa ni haya ambayo Dr Kimei ndiye anaweza kurekebisha kwa haraka
1. Tatizo la dollar
2. Tatizo la riba kuwa juu
3. Kuanzisha credit rating system Tanzania
4. Nchi yetu kupata bond za uchumi kama kujenga barabara au reli badala ya kuchukuwa mikopo.
Yote haya Kimei atafanya vizient kuliko hawa wanasiasa kama Mwigulu ambao hawana uzoefu wa kutosha. Tuache kuogopa watu ambao ni bosses
View attachment 2743468
Fisi akabidhiwe bucha? Hata mfupa hupatiAtakausha sefu zote pale treasury, asilani asipewe kabisa uwaziri wowote, tutakaushwa.
Dawa ya jino sio kuziba,Watanganyika tunapaswa kutumia akili kutatua matatizo ya nchi yetu ndio maana tumefika hapa tulipo aula tuwaache wafanye watakavyo,uwezi kutusema tatizo ni mwingulu wakiti matatizo yako kila sehemu kila sector piga chini ccmBora ata uyu kuliko Mwigu
Uko sahihi mkuu, mtoa mada hajamuangalia Kimei ktk angle hii.Huyu mpuuzi hataweza kufanya kitu. Ataharibu zaidi.
Fuatilia matamshi yake anayotoa ili kukidhi matakwa ya kisiasa au kuendana na Chama, utagundua kuwa siyo tu ata fail bali ataiporomosha nchi.
Kuweza kufanya vizuri CRDB haimfanyi kuelekea kuja kufanya vizuri siasani.
Siasani kuna utashi wake ambao imeshaonekana kuwa ataboronga.