MUBENDE
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 1,111
- 1,879
Na hatujui tuingie shimoni au pangoni au tutoke nnje tuotee jua? basi balaa tupu hatujielewi kabisa.....Tanzania tunagaragara tu kama nyoka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hatujui tuingie shimoni au pangoni au tutoke nnje tuotee jua? basi balaa tupu hatujielewi kabisa.....Tanzania tunagaragara tu kama nyoka!
Huu ndio ukweli halisi tatizo ni mfumo! Naungana nawe Kwa hiliDawa ya jino sio kuziba,Watanganyika tunapaswa kutumia akili kutatua matatizo ya nchi yetu ndio maana tumefika hapa tulipo aula tuwaache wafanye watakavyo,uwezi kutusema tatizo ni mwingulu wakiti matatizo yako kila sehemu kila sector piga chini ccm
Kuna asijifunza kazini? Kwa taa
Kuna asiyejifnza kazini? Kwa taarifa hakuna chuo cha uwaziri au urais duniani
Naunga mkono hoja 100%.Ndugu yetu Mwigulu anajifunza kazini na hii wizara inahitaji mtu ambaye anaweza na kujua jinsi ya kutatua matatizo na sio kila siku kubishana na wanasiasa. Matatizo makubwa ni haya ambayo Dr Kimei ndiye anaweza kurekebisha kwa haraka
1. Tatizo la dollar
2. Tatizo la riba kuwa juu
3. Kuanzisha credit rating system Tanzania
4. Nchi yetu kupata bond za uchumi kama kujenga barabara au reli badala ya kuchukuwa mikopo.
Yote haya Kimei atafanya vizient kuliko hawa wanasiasa kama Mwigulu ambao hawana uzoefu wa kutosha. Tuache kuogopa watu ambao ni bosses
View attachment 2743468