Dkt. Charles Kimei apewe Uwaziri wa Fedha haraka

Bei ya unga haikushuka kwa sababu BOT iliongeza riba. Bali ilishuka kwa sababu ya mavuno makubwa ya mahindi na zuio la serikali kwa wafanya biashara kuuza mahindi nje.

Kama hujui kitu kaa kimya.
Kumbuka kuishusha inflation inategemea na factors nyingi sana ikiwemo hiyo ya riba, hata kama supply ingekuwa kubwa, kama wangeshusha riba , inflation ingekuwa inaongezeka maana money supply imekuwa kubwa. Hii ni Contractionary Monetary policy .

I know what I am talking about.
 
KWANI WAZIRI ALIYOPO HAIKOSI ANATAKA KUGOMBEA URAIS?
 
Unajua mkuu japo Ni mshabiki wa kolo
 
Bora ungemtaja profesa simboja mchumi mbobezi yani huyo mtu mlafi hivyo ndo unataka apewe bucha kweli au wachaga mnatutaka nini? Mramba hakuwatosha na lami hadi vijijini?
 
Huyu mpuuzi hataweza kufanya kitu. Ataharibu zaidi.
Fuatilia matamshi yake anayotoa ili kukidhi matakwa ya kisiasa au kuendana na Chama, utagundua kuwa siyo tu ata fail bali ataiporomosha nchi.
Kuweza kufanya vizuri CRDB haimfanyi kuelekea kuja kufanya vizuri siasani.
Siasani kuna utashi wake ambao imeshaonekana kuwa ataboronga.
 
Mama kasema hawezi kufanya KAZI na waluomzidi umri
 
Tatizo sio mwigulu bali tatizo ni ccm kama unataka kuona mabadiliko nchini ikatae ccm sio Mwingulu unapoteza muda wako.
 
1. Tatizo la dola liko nje ya uwezo wetu watanzania. Nampa pekee ni tuuze sana nje kuliko kuagiza vinginevyo hakuna namna. Njia pekee iliyopo ya haraka ni kukopa mikopo nafuu ya muda mrefu tupate dollar kupunguza upungufu uliopo. Niliona juzi mitandaoni wizara ya fedha imekutana na WB kuomba msaada.

2. Riba kua juu, ni sahihi, Magufuli alishusha riba toka 24 hadi 14-15. Sasa inarudi kule kule. Riba na gharama nyingine nyingi sana za mkopo, mala application fee, insurance, processing fee, nini fee nk.

3. Credit rating ni nje ya uwezo wetu. Credit ratings zinazojulikana ni za wazungu kina Moody, S$P, Fitch nk na hao ndio wenye masoko ya fedha na mitaji. Hawawezi kutumia credit rating isiyo ya kwao. Hapo hoja iwe tupambane Tanzania iwe rated.

Niliambiwa na mdau mmoja by December tutakua rated vizuri ili tuweze kuuza hati zetu kwenye masoko makubwa ya ulaya na Marekani.

Wazungu ukikaa nao vizuri (wape rasilimali za nchi yako) unakua rated vizuri, ukikaa nao vibaya unakua rated vibaya. Ni ka mfumo wametengeneza kuendelea na ukoloni wao.
 
Kuendesha benki uchwara kama crdb na kuwa waziri wa fedha ni vitu viwili tofauti.
Hebu type uzoefu wa mwigulu tulinganishe,cv ya kimei inambeba hakuna ubishi,maendeleo ya CRDB kipindi chake hayana ubishi,sifa ambavyo Hana sio mwanasiasa Kama mwigulu hiyo ndio tofauti,tunataka mtuonyeshe mafanikio ya mwigulu toka awe waziri wa fedha!
 
Kuna asijifunza kazini? Kwa taa
Kuna asiyejifnza kazini? Kwa taarifa hakuna chuo cha uwaziri au urais duniani
 
Nchi ya Tanzania na mambo yake unatakiwa uipuuze kama mwanamke mjeuri, maana ukiizingatia unaweza kufa.
 
Bora ata uyu kuliko Mwigu
Dawa ya jino sio kuziba,Watanganyika tunapaswa kutumia akili kutatua matatizo ya nchi yetu ndio maana tumefika hapa tulipo aula tuwaache wafanye watakavyo,uwezi kutusema tatizo ni mwingulu wakiti matatizo yako kila sehemu kila sector piga chini ccm
 
Uko sahihi mkuu, mtoa mada hajamuangalia Kimei ktk angle hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…