Dkt. Charles Kimei apewe Uwaziri wa Fedha haraka

Dawa ya jino sio kuziba,Watanganyika tunapaswa kutumia akili kutatua matatizo ya nchi yetu ndio maana tumefika hapa tulipo aula tuwaache wafanye watakavyo,uwezi kutusema tatizo ni mwingulu wakiti matatizo yako kila sehemu kila sector piga chini ccm
Huu ndio ukweli halisi tatizo ni mfumo! Naungana nawe Kwa hili
 
Kuna asijifunza kazini? Kwa taa

Kuna asiyejifnza kazini? Kwa taarifa hakuna chuo cha uwaziri au urais duniani

Naona umekuwa mzito kidogo kuelewa. Kujifunza hapa maana yake ni uzoefu wa “financial management” . Mwigulu amepata uwezo gani wa kuongoza kituo/ sherika gani la fedha ukilinganisha na mafanikio na uzoefu alionao Kimei? Tanzania ya sasa inahitaji mzoefu kutokana na changamoto zipizopo
 
Jamaa ni mkabila sana. Wizara nzima mtajazana wachaga. Halafu muanze kutuvimbia sie kajamba nani? Hapana, ni kweli Mwigulu amepwaya lakini Kimei hawezi kua replacement ya Mwigulu at that angle. Atafutwe mwengine.
 
Naunga mkono hoja 100%.
Msikie Dr. Kimei
View: https://youtu.be/4Edy6B-GoeA?si=lVYHEiclCZFTTGUvP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…