Kweli kabisa Mkuu Mbatia hafai yule kigeugeu.heri jimbo wapewe sisiem lakini sio Mbatia,shenzi sana
Yap uwezo wake ni mkubwa sana Anastahili Apewe Vunjo.Ni haki yake ya kikatiba kutia nia kugombea .Ni mtanzania aliyeipaisha sana CRDB ilikuwa inakufa kifo cha mende .Alifanya kazi kubwa kuifufua na kuifanya iwe juu mno hadi leo
Yuko vizuri mno kichwani
Yap wizara ya Fedha itamuhusu hapo mtaalam huyu wa Uchumi.Duuh, Waziri wa fedha mtarajiwa, kila la kheir
Kweli kabisa Mkuu. Vip kisambo hapo?Afadhali tumpe kimei jimbo kuliko kulirejesha kwa mbatia...
Kweli kabisa Mkuu. Vip kisambo hapo?
Tena huyu hata kumpigia kura naona kama ni kupoteza mudaMupe muruke #Ova