Kazi ile kwa kiasi kikubwa ilifanywa na wadenishi hadi walipoachia hisa zao miaka ya 2010. Unapomsifia hivyo kumbuka kulikuwa na ngozi nyeupe nyuma yake na walikuwa na karibu theluthi moja ya hisa na ndio waliiokoa miaka ya 1996 isiingie kaburini bila jeneza. Kiufupi ni mchapa kazi sanaNi haki yake ya kikatiba kutia nia kugombea .Ni mtanzania aliyeipaisha sana CRDB ilikuwa inakufa kifo cha mende .Alifanya kazi kubwa kuifufua na kuifanya iwe juu mno hadi leo
Yuko vizuri mno kichwani