Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

Huyu aingii ubunge kutafuta hela
Mara 100 watu kama Hawa kuliko Hawa njaa kali

Ova
Nani kakudanganya ?Hapo analenga uwaziri. Ingekuwa hakuna mshahara unafikiri angegombea ?Japokuwa ana hela ila anataka zaidi. Principal ya maisha ya mtu aliefanikiwa ni kutokuridhika. Hata kama ni bilionea ni mafanikio kwake kuongeza million moja kwenye kiasi alichokuwanacho mwanzo.
 
Namhusudu sana Mbatia ni basi tu. Ila Kimei alistahili kupewa ubunge viti maalum na kuwa waziri wa fedha kitambo sana.
Magufuli ampe Kimei/Mchaga uwaziri wa fedha ?Unaota wewe. Ungejua jinsi Dotto anamvyomcontrol waziri wa fedha aliepo wala usingetamani Kimei kuwa waziri wa fedha. Kimei analenga uwaziri ila ni asilimia ndogo sana Kimei kupata uwaziri kwenye serikali ya Magufuli.
 
Nani kakudanganya ?Hapo analenga uwaziri. Ingekuwa hakuna mshahara unafikiri angegombea ?Japokuwa ana hela ila anataka zaidi. Principal ya maisha ya mtu aliefanikiwa ni kutokuridhika. Hata kama ni bilionea ni mafanikio kwake kuongeza million moja kwenye kiasi alichokuwanacho mwanzo.
Huwa una akili sana mara nyingi, mara chache sana unazisahau (joking) lol 😅
 
Mbatia hagombei? Yale majimbo 10 ya NCCR hilo halimo?
 
Pia ndie alieipora toka mikononi mwa serikali pindi inaitwa benki ya wakulima akagawana hisa zote 100 na wachaga wenzake. Pia ndie aliefanya asilimia 85 ya wafanyakazi wa crdb wakawa wachaga tu. Mbatia simpendi ila Kimei kwa vile ni ccm ndo kabisaaa
 
Magufuli ampe Kimei/Mchaga uwaziri wa fedha ?Unaota wewe. Ungejua jinsi Dotto anamvyomcontrol waziri wa fedha aliepo wala usingetamani Kimei kuwa waziri wa fedha. Kimei analenga uwaziri ila ni asilimia ndogo sana Kimei kupata uwaziri kwenye serikali ya Magufuli.

Teuzi za nafasi huwa haziangalii kabila la mhusika. Vetting hufanywa na zaidi ya mtu mmoja (ni ngumu wawe kabila moja eg wachaga wote). Rais hupelekewa mapendekezo tu yeye.
 
Nani kakudanganya ?Hapo analenga uwaziri. Ingekuwa hakuna mshahara unafikiri angegombea ?Japokuwa ana hela ila anataka zaidi. Principal ya maisha ya mtu aliefanikiwa ni kutokuridhika. Hata kama ni bilionea ni mafanikio kwake kuongeza million moja kwenye kiasi alichokuwanacho mwanzo.
Huwa natofautiana na wewe kimtizamo kwenye mambo mengi wewe 'victoire ingabile' Ila kwa hili, umeongea vizuri sana sina cha kuongeza wala kupunguza.
 
Nani kakudanganya ?Hapo analenga uwaziri. Ingekuwa hakuna mshahara unafikiri angegombea ?Japokuwa ana hela ila anataka zaidi. Principal ya maisha ya mtu aliefanikiwa ni kutokuridhika. Hata kama ni bilionea ni mafanikio kwake kuongeza million moja kwenye kiasi alichokuwanacho mwanzo.
Una akili sana we mwanamke Kama vile ulikuwa kichwan mwangu unachukua hizo points unaandika,bravo!
 
Magufuli ampe Kimei/Mchaga uwaziri wa fedha ?Unaota wewe. Ungejua jinsi Dotto anamvyomcontrol waziri wa fedha aliepo wala usingetamani Kimei kuwa waziri wa fedha. Kimei analenga uwaziri ila ni asilimia ndogo sana Kimei kupata uwaziri kwenye serikali ya Magufuli.
Sasa kwanini huyo mpwa asiwe tu wazir ikajulikana moja
 
Nani kakudanganya ?Hapo analenga uwaziri. Ingekuwa hakuna mshahara unafikiri angegombea ?Japokuwa ana hela ila anataka zaidi. Principal ya maisha ya mtu aliefanikiwa ni kutokuridhika. Hata kama ni bilionea ni mafanikio kwake kuongeza million moja kwenye kiasi alichokuwanacho mwanzo.
Hata huo uwaziri akimbili hela
Fedha anayoingiza huko kwenye kokoto inamtosha kabisa.....
Tunataka watu kama Hawa kwenye uongozi syo wale wanaochangisha watu Hela ili wapate cheo

Ova
 
Back
Top Bottom