rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Akili za wapinzani zinachekesha wako tayari jimbo lichukuliwe na ccm kisa hawampendi mpinzani wanasahau adui yao mkubwa ni ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia wsnasahau waliokuwa wanalaumu ukabila wake alipokuwa crdbAkili za wapinzani zinachekesha wako tayari jimbo lichukuliwe na ccm kisa hawampendi mpinzani wanasahau adui yao mkubwa ni ccm
Kokoto[emoji3064][emoji3064]Hata huo uwaziri akimbili hela
Fedha anayoingiza huko kwenye kokoto inamtosha kabisa.....
Tunataka watu kama Hawa kwenye uongozi syo wale wanaochangisha watu Hela ili wapate cheo
Ova
Mbatia huwa anateuliwa viti maalumKipele kimepata mkunaji. Mh Mbatia nenda kachunge mbuzi au tafuta biashara nyingine.
Duuh, Waziri wa fedha mtarajiwa, kila la kheir
Ubunge ni kuwatumikia wananchi, and you never know what God has for him in his Future.MD/CEO wa CRDB ni zaidi ya Ubunge , Dr Kimei anakwama wapi?
Masikini Mbatia
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.
Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.
Mwakeye
Akili za wapinzani zinachekesha wako tayari jimbo lichukuliwe na ccm kisa hawampendi mpinzani wanasahau adui yao mkubwa ni ccm
Bora kabsaheri jimbo wapewe sisiem lakini sio Mbatia,shenzi sana arudi kwenye viti maalumu na kina mama wenzie
Maisha sio pesa tu . Self actualization haifikiwi kwa kuwa na pesa nyingi tu.Ingekuwa Hivyo mabilionea Kama Billy Gates Wana pesa za kula wao na vitukuu kwa miaka hata Mia tatu wasingeendelea kufanya business Wana contribute kwenye well being ya dunia na hujisikia vizuri wa kisolve society problem!!MD/CEO wa CRDB ni zaidi ya Ubunge , Dr Kimei anakwama wapi?
Mama Tanzania[emoji134]heri jimbo wapewe sisiem lakini sio Mbatia,shenzi sana arudi kwenye viti maalumu na kina mama wenzie
Dada Victoire ,pesa si kitu kama huna power. Kinachotafutwa kwenye siasa ni power. CCM imefanya zama hizi siasa ionekane ni rahisi sana,kiasi kwamba hata house girls wangu wawili wametangaza nia ya kugombea ubunge.Nani kakudanganya ?Hapo analenga uwaziri. Ingekuwa hakuna mshahara unafikiri angegombea ?Japokuwa ana hela ila anataka zaidi. Principal ya maisha ya mtu aliefanikiwa ni kutokuridhika. Hata kama ni bilionea ni mafanikio kwake kuongeza million moja kwenye kiasi alichokuwanacho mwanzo.
Unajua Wadenish walimuomba aendelee yeye ndio akagoma?Hafai, aliiharibu sana CRDB
[emoji1787][emoji23]heri jimbo wapewe sisiem lakini sio Mbatia,shenzi sana arudi kwenye viti maalumu na kina mama wenzie
Nani kakwambia awamu hii kuna "vetting"?Teuzi za nafasi huwa haziangalii kabila la mhusika. Vetting hufanywa na zaidi ya mtu mmoja (ni ngumu wawe kabila moja eg wachaga wote). Rais hupelekewa mapendekezo tu yeye.
Kwani Mpango hatoshi!!!Namhusudu sana Mbatia ni basi tu. Ila Kimei alistahili kupewa ubunge viti maalum na kuwa waziri wa fedha kitambo sana.
tapeli tu yule. matapeli wana maneno matamu sanaMama Tanzania[emoji134]
UWaziri wa fedha atausikia kwenye redio tu, watu wa KLM jamaa hawamini kabisaYap wizara ya Fedha itamuhusu hapo mtaalam huyu wa Uchumi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]heri jimbo wapewe sisiem lakini sio Mbatia,shenzi sana arudi kwenye viti maalumu na kina mama wenzie