Ukatibu una mandate kuliko waziri..
Dotto unamwona alivofutuka kwa sasa
Dotto unamwona alivofutuka kwa sasa
Sasa kwanini huyo mpwa asiwe tu wazir ikajulikana moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini huyo mpwa asiwe tu wazir ikajulikana moja
Kweli aisee anakuwa kama puto...hyo mandate ndo ikoje kwa ukatibu?Ukatibu una mandate kuliko waziri..
Dotto unamwona alivofutuka kwa sasa
kweli kabisa achukue tu aje awe waziri wa uchumiheri jimbo wapewe sisiem lakini sio Mbatia,shenzi sana arudi kwenye viti maalumu na kina mama wenzie
Naunga mkono hoja,
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.
Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.
Mwakeye
Uchambuzi wako uko so objective. Akili kubwaMagufuli ampe Kimei/Mchaga uwaziri wa fedha ?Unaota wewe. Ungejua jinsi Dotto anamvyomcontrol waziri wa fedha aliepo wala usingetamani Kimei kuwa waziri wa fedha. Kimei analenga uwaziri ila ni asilimia ndogo sana Kimei kupata uwaziri kwenye serikali ya Magufuli.
Magu hawezi kumpa mchaga eneo lolote lenye fedha.Duuh, Waziri wa fedha mtarajiwa, kila la kheir
Magu hawezi kumpa mchaga eneo lolote lenye fedha.
Unafikiri kwanini Dr. Mpango kadumu hiyo wizara na Magu miaka 5? Mzee huyu wa Kiha ni Mbishi na baili kwenye pesa Magu haoni ndani.
Muulize Bashite alivyoleta makontena yake ya madili akajitutumua akidhani mzee Baba angeuruma Mpango aingie mstari.
Magu hawezi mtoa Mpango pale, hata akikosa ubunge huko Kigoma, Magu atampa tena ubunge wa kuchaguliwa.
Kweli aisee anakuwa kama puto...hyo mandate ndo ikoje kwa ukatibu?
Mayalla, kwa akili yako timamu unaona Magu atamtoa Mpango pale amuweke Kimei????Naunga mkono hoja,
Kuna kitu nilimwambia Mbatia.
Huyu ndiye MOF wa awamu ijayo.
Bye bye Mbatia!
P.
Huyu tunamkubali, aje kuisafisha wizara ya fedha.
Magu hawezi kumpa mchaga eneo lolote lenye fedha.
Unafikiri kwanini Dr. Mpango kadumu hiyo wizara na Magu miaka 5? Mzee huyu wa Kiha ni Mbishi na baili kwenye pesa Magu haoni ndani.
Muulize Bashite alivyoleta makontena yake ya madili akajitutumua akidhani mzee Baba angeuruma Mpango aingie mstari.
Magu hawezi mtoa Mpango pale, hata akikosa ubunge huko Kigoma, Magu atampa tena ubunge wa kuchaguliwa.
Hiyo ofisi hapewi mchaga hata wakimroga Magu.Humjui Mpango Wewe
Uliza waliokuwa nae Tume ya Mipango na Wizara ya fedha enzi za Mkwere ndio utajua Upepo unafuata uelekeo wa maji au maji yanafuata uelekeo wa upepo baharini
Keep this thread in mind, baada ya baraza jipya, utanikumbuka.Mayalla, kwa akili yako timamu unaona Magu atamtoa Mpango pale amuweke Kimei????
Uliomba kazi ukakosa?Akajaze wachaga kama alivyojaza pale CRDB