Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.

Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.

Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.

Mwakeye
Huyu mzee apumzike ataharibu heshima ambayo ameiweka
 
Kimei namkubali sana kama tu Former CEO wa CRDB, Pale alipiga kazi vizuri.

Ubunge; kupitia CCM na wasifu wake huko nyuma asilimia za kuupata ni kubwa sana.

Uwaziri; kwa kabila alilotokea na jinsi watu wanavyomsifia sanaa na nnavyojua Uncle JJ asivyowakubali watu wanaoweza kumficha kwa sifa uwaziri kuupata asilimia ni ndogo.

Hayo ni maoni sema lolote linaweza kutokea, kumtabiri uncle nayo ni kazii🙏
 
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.

Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.

Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.

Mwakeye
Uzuri wa uchaguzi hauangalii wewe ni nani au umewahi kuwa nani... ukiamua kukutupa mkono unakutupa tu
 
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.

Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.

Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.

Mwakeye
Huyu ni mtu makini sana. Kongole ziende kwa chama chochote ambacho kitamuamini na kumpa nafasi, haijalishi iwe ni chama tawala ama cha upinzani.
 
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.

Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.

Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.

Mwakeye
Marangu na Mamba Ni maeneo tofauti halina kitu Kama marangu mamba.
 
UKAWA mwaka huu wataingiza timu uwanjani au wataweka mpira kwapani? Rombo Selasini CCM, Moshi Vijijini chami
 
[SUP]si aalishastaafu huyu ama Ubunge haunaga msaafu hadi lifo kiwatengashe[/SUP]
 
Yule mpinzani wa CCM B, unamaana atagombea Jimbo lingine
 
Waziri mtarajiwa na Rais mtarajiwa.
Ni haki yake ya kikatiba kutia nia kugombea .Ni mtanzania aliyeipaisha sana CRDB ilikuwa inakufa kifo cha mende .Alifanya kazi kubwa kuifufua na kuifanya iwe juu mno hadi leo
Yuko vizuri mno kichwani
 
Hivi mnamsifia kuwa yupo vzr inamaana mmesahau kuwa ukiingia kwenye kile chama akili zako zinatolewa zote na zinawekwa akili nyingine?
 
Back
Top Bottom