Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

Huyu aingii ubunge kutafuta hela
Mara 100 watu kama Hawa kuliko Hawa njaa kali

Ova
Mimi ninacho shukuru ni kuwa bora hilo jimbo alichue huyo kuliko yule kirusi Mbatia
 
Lijamaa lina kera sana yaani na mambo yake kama wale wa viti maalum
Mbatia amelinyea jimbo. Aende zake. Hata upinzani haeleweki. Akapewe ubunge wa viti maalumu vya kina mama. Ana uzoefu navyo, alishaingia mjengoni kwa upendeleo wa Rais. Dume zima!!!!!
 
Kimei ni chombo yule.ccm wanahitaji vifaa kawa wale.wawatafute na wengine wengi waliotoka sector binafsi kwenye mataasis makubwa makubwa kama akina mchechu nehemia.ijapo walituhumiwa kwa ufisadi lakini hakuba msafi hata mmoja aliye msafi kabisa.Ila tunataka watu wanaoweza kufanya transformation ya chapchap.
 
Namhusudu sana Mbatia ni basi tu. Ila Kimei alistahili kupewa ubunge viti maalum na kuwa waziri wa fedha kitambo sana.
1594584323588.png
 
Back
Top Bottom