Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

Chadema Vunjo anagombea Grace Kiwelu japokua kwa jimbo la Vunjo Chadema hawana Rekodi nzuri hapo.

Duh huyo Grace Kiwelu ndio nani? Mbona jina mpya kabisa hilo? Ila Vunjo jimbo ngumu sana..japo ndio nyumbani kwa muasisi mzee Mtei ila hawajawahi kuichagua Chadema. Halafu bado ni jimbo lenye wenyekiti wawili wa vyama vya upinzani, Mbatia na Mrema. Kwa haraka tu hapo huyo wa CDM ni kura yake tu atakayoipata.
 
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.

Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.

Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.

Updates...
Mambo Tayari Dkt. Kimei Ashachukua Fomu.View attachment 1502594
View attachment 1506539
Huu uzi ungeanzisha labda mwaka 2012 au 2009 ungekuwa fire.
 
Duh huyo Grace Kiwelu ndio nani? Mbona jina mpya kabisa hilo? Ila Vunjo jimbo ngumu sana..japo ndio nyumbani kwa muasisi mzee Mtei ila hawajawahi kuichagua Chadema. Halafu bado ni jimbo lenye wenyekiti wawili wa vyama vya upinzani, Mbatia na Mrema. Kwa haraka tu hapo huyo wa CDM ni kura yake tu atakayoipata.
Grace Kiwelu sio jina Geni kwa wanaofuatilia Siasa Maana alikua mbunge Viti Maalum.
 
nakushukuru kwa kuelewa kwamba Lowassa alishinda kwa zaidi ya kura mil 10 na aliyepata mil 3 unusu ndio akatangazwa , lakini elewa kwamba wengi watapiga kura kwa Lissu na hasa baada ya kufichua kwamba hatakubali kuibiwa
Spin doctoring----- propagandist. wakati sisi kaskazini kura zetu nyingi tulizipeleka upinzani, wenzetu Mwanza, Simiyu, Shinyanga, Geita, Tabora, Dodoma, Iringa, Ruvuma, Katavi na Kagera walipeleka CCM. angalia takwimu za NEC wao ni kama 77% ya wapiga kura wote nchi yetu.

Upinzani tungeshindaje?.

Tuelimishane ili tupunguze ushabiki maandazi.

Ni kura za Dar es salaam ndio zilizo tupatia kiwango kikubwa cha kura.

Nadhani hufamu hili: Wilaya ya Kinondoni ina wapiga kura wengi kuliko Mkoa mzima wa Arusha.

Wilaya ya Ilala inawakaazi wengi kuliko Kilimanjaro,

Temeke Ina wakaazi wengi kuliko Mbeya.

Na kutokana na elimu kwa ujumla kuwa chini Magharibi mwa Tanzania kilingana na idadi ya wakazi wake, wenzetu wana zaana sana. na wana zungumza karibu lugha moja au inayofanana sana, ukiondoa sehemu chache kama Kagera na Dodoma.

2015 - TULIPIGWA TUU NA HATA TUNG'AN'GANIE UPINZANI, 2020 WATATUPIGA TENA SAFARI HII.
 
Mbowe na hata mdee ni maafisa wa usalama kitambo Sanaa.
Mbatia tangu Yupo kili boys Enzi baba yake mkulima bora wa kahawa kilimanjaro.

Idara imetapakaa Sanaa na Lissu atatulizwa tu.
Sijui Hawa watu, wanakwepakanaje
Hivi hizi habari za kijinga jinga hivi bado zina mashiko kwenye karne hii ya 21
 
Grace Kiwelu sio jina Geni kwa wanaofuatilia Siasa Maana alikua mbunge Viti Maalum.

Mkuu, kwa picha ya haraka hilo jini ni geni kwa watu wa Vunjo. Hana kitu cha kuongea akaeleweka au kukubalika. Atatumia ushawishi gani? Labda anatambulika ndani ya chama chake ila kwenye jamii ya wana Vunjo anatambulika vipi?
 
uongo hautakusaidia chochote
 
Kimei kafanya Nini?

Kasaidia ujenzi wa mashule, barabara, sacoss kwa kina mama na kituo cha polisi. Hivyo ni kwa uchache tu. Haya niambie Grace Kiwelu kafanya nini Vunjo..kitu gani kinamtambulisha kwa wana Vunjo?
 
Duuh, Waziri wa fedha mtarajiwa, kila la kheir
Jiwe ana ugonjwa wa kuwachukia na kuwashughulikia watu wa kabila la huyu jamaa. Sidhani kqma anaweza kumpa uwaziri nyeti kama huu. Yule yule (Muha) kondoo wake wa Sasa ataendelea na nafasi yake.
 
Back
Top Bottom