FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
100% Mbowe is on mission aisee..Hahaha hapo kwa Mbowe lipo wazi.
Mbowe was running on the corridors of White House akiwa mdogo, Mwalimu alikuwa akienda kikazi Kilimanjaro analala Machame kwa Mzee Aikaeli na sio Ikulu ndogo. Kuna watoto wa kike wa Mwalimu wamesoma Machame Girls na kabla ya kurudi likizo shule zikifungwa wanaenda kwa Mzee Aikaeli..
Haya yote na ukiangalia siasa za Mbowe na fix zake utajua tu kuna kitu..